Jana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita.
Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku...
Neno lililozoeleka mpaka sasa "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke"
Ni neno fikirishi sana na hasa limetokea kuaminiwa sana baada ya anayelitoa yupo katika kundi la...
I hope everyone is fine,
Mahusiano yeyote ili yaweze kufanikiwa inabidi pande zote mbili ziwe na ushirikiano, ila hali ni tofauti kabisa kwa asilimia kubwa ya wanawake tulio nao, wamegeuza...
Naomba ushauri, mimi nimeoa mwanamke ambaye ana mtoto tayari, je akitumia majina yangu vyeti vyake ni sahihi!?? Huyo mtoto ana umri wa mwaka mmoja na miezi sita,,,?
Mama yake anasema tubadili...
Kiukweli aina hii ya kilema inewafanya wanaume wengi sana kutokua na amani hata wawe matajiri, wanavaa fresh, wacheshi, n.k. yani hakuna kitu wanaogopa kama kushare mwanamke na mtu mwenye umbile...
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.
First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada...
Nina mdogo wangu mtoto wa mjomba yangu tumbo moja na Mama angu, huyu dogo nimekua nae kama mdogo wangu tumbo moja na jamii inajua tumezaliwa pamoja, kwa uku mjini tunaish mtaa mmoja
Shida inakuja...
Dk mwaka anaishi kiakili sana yaani jamaa anatengeneza pesa kwa kutumia akili tu, Dk mwaka kipindi cha hivi karibuni amekuwa akipromote sana wake zake watatu mtandaoni na akisema kuwa soon...
Nimekuwa napenda sana kuwa kwenye mahusiano na wadada waliofungashia, kiuno nyugwi na sura ya kuvutia; kitu kinachonifanya nikutanapo na yeyote mwenye sifa hizo, najikuta mwili wote unalegea na...
Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo...
Nina mrembo nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa kipindi fulani. Lakini wakati wakushiriki nae tendo huwa anasema "Nikikaa hivi inachoma choma bwana inachoma". Nikimuuliza unafurahia au unaumia...
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk...
Wakubwa mpo?
Kuna baadhi ya wanaume kwenda club kurudi bila dem hawezi yani kashaweka mazoea hivyo au tamaa tamaa za mademu hii sio nzuri wakuu,
Jumamosi nilikua maeneo flan hivi bhs mimi huwa...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mwanaume nina rafiki yangu (mwanaume) ambae tuna takribani miaka kumi kwenye urafiki tulikutana chuoni mimi nikiwa mwaka wa kwanza yeye wa tatu! Ni mtu mpenda...
kufurahisha. Na leo tunaonyeshana baadhi ya tafsiri hizo.
Ndoa ni kumuita mwanamke aje atumie pesa zako, kisha aone haitoshi, azae marafiki zake ili washirikiane kula pesa zako zaidi.
Kisha...
Wadau,
Nimeoa baba wa watoto 07 na mke1.
Katika kipindi miaka 02 iliyopita tuliingia kwenye mgogoro na mke wangu.
Sababu kubwa alipoteza uaminifu na mimi.
Hii ilitokana na aina yangu ya maisha...
Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya...
Habarini wakuu,
Mimi si mwandishi mzuri lakini naomba tusaidiane katika hili.
Naomba nianze na visa kama viwili nilivyokutana navyo siku za karibuni
Wiki mbili zilizopita,
Wakati nipo...