Wakuu hamjambo aisee.
Mmefanikiwa na kubarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.
Moja Kwa moja naanza, nilihamia kikazi mkoa Fulani kanda ya ziwa huku bahati nzuri huku yupo bwana MDOGO amekuwepo huku...
Habari zenu wadau,
Bila kupoteza muda mimi naomba msaada tu kupewa darasa la kufanya massage kwa ajili ya kutoa uchovu na kumpa raha mpenzi wangu. Nimeamua kuomba huu msaada kwa sababu tupo mbali...
Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo:
a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la...
Habarini ndugu zangu
Kwa ambao hamjaifahamu devide ana rule ni ile unafanya watu wakosane au wagombane halafu baadae ww unamtawala/kumchukua mmoja wapo.
Hiyo njia inatumiwa sana na baadhi ya...
Habari zenu mabibi na mabwana
Baada ya kupitia vitabu baadhi nikapata kitu ambacho nimeona nilete kwa ajili ya kujifunza na kuongezeana ujuzi
Kitu chenyewe ni NDOA
=>Ndoa ni muunganiko wa...
Upande wangu
Mwanaume
Umri 30
Dini muislamu
Nimeajiriwa
Mwenza:
Awe na umri kati ya 23 hadi 30
Awe muislam
Awepo Dar es salaam
Kuwa na watoto au kutokuwa nae tutajadiliana.
Baada ya ndugu zangu kuonyesha wazi kuwa hawamtaki mke niliyemuoa nilikaa chini na mke wangu tukapanga jambo.
1. Tulikubaliana kujifanya tumegombana sana na kila mmoja ameridhia tuachane.
2...
Habari waungwana. Kwanza kabisa tuvumiliane. Leo nina swali, hivi unaweza kumuacha mtu unaye mpenda kwa dhati kwa kushauriwa na mtu au watu ? Hii hasa nauliza jinsia ya kike.
Karibuni aisee...
UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA
Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza
uzao kwa wanadamu,
kuwaondolea...
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.
Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni...
Kuoa pisi kali huku huna hela au hela yako ni ya mawazo ni kutafuta magonjwa ya moyo na presha. Kwa sababu zifuatazo:-
Pisi kali haijui kutumia kuni
Pisi kali haijui kulima
Pisi kali haijui...
Kwa jinsi nilivyo na haraka nikusalimu kifupi tu, Uhali gani?
Baada ya kukaa kuwaza nimekuja kujua wengi wetu ni wabinafsi sana, na wengine hata hatujui kuwa tunachofanya ni ubinafsi wa kutisha...
Wazazi/walezi wengi hutamani kujenga tabia mbalimbali nzuri kwa watoto lakini hujikuta katika njiapanda ya kuchagua tabia ipi waiwekezee nguvu zaidi ya nyingine. Katika kuhudumia kwangu wazazi kwa...
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona...
Kwanza kabisa nikianza na.
1: TEMEKE-malaya wa hii wilaya kifup hawana akili hata kwa mihogo ya jero anaeza vua chup** wapo ambao hawana akili wao wako cheap hata kwa buku mbili wao ni kiguru juu...
Amkeni mkajenge familia, na nkuijenga nchi, wenye changamoto za kiafya, kiuchumi MUNGU wa Mbinguni awasimamie.
Mwaka jana ndio mwaka ulionipa uchungu saaaana maishani mwangu maana nlipoteza mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.