kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,163
Habari zenu wadau,
Bila kupoteza muda mimi naomba msaada tu kupewa darasa la kufanya massage kwa ajili ya kutoa uchovu na kumpa raha mpenzi wangu. Nimeamua kuomba huu msaada kwa sababu tupo mbali na mjini kwenye huduma za massage kwahiyo kazi na mihangaiko yetu naona ni bora kujua hii huduma ya massage ili awe mwepesi kimwili na kiakili (najua naye nitamuelekeza asome ili afanye na kwangu pia) lakini najua kiafya pia massage ni tiba nzuri.
Naomba kutanguliza asante