Ushawahi kupata mpenzi kwa devide and rule method

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habarini ndugu zangu

Kwa ambao hamjaifahamu devide ana rule ni ile unafanya watu wakosane au wagombane halafu baadae ww unamtawala/kumchukua mmoja wapo.

Hiyo njia inatumiwa sana na baadhi ya watu hasa kupata wapenzi wanaowataka hasa kama wapenzi hao watakuwa tayari kwenye mahusiano yao.

Nakumbuka ilikuwa ni ile likizo ndefu ya sensa 2012 nikaenda likizo sehemu ambayo kuna mji mwingine wa familia. Kwani ilikuwa ni kawaida yangu kwenda huko mara kwa mara ili kusimamia baadhi ya vitu.

Baada ya kufika kule rafiki yangu ambaye yupo kule alinionyesha binti mmoja mzuri hatari hadi mzuri tena ila akaniambia yupo kwenye harakati anamfukuzia akanionyesha hadi chatting zao. Kwamba binti amemuelewa jamaa ila binti ndio hivyo anaogopa tu.

Basi baada ya kunionyesha na mimi kwa hakika yule binti nilimuelewa kinyama ya usiku nikaanza kupanga plan zangu. Na plan iliyonijia kwanza nibreak bond yao/nifanye wachukiane halafu baada ya hapo nipite mlango wa nyuma nijichukulie demu kiulaiini.

Mpango ulienda kama nilivyousuka kwanza nikatengeneza zengwe jamaa aone demu ni Mapepe na haijatulia kwa kuwa alikuwa ananiamini sana akanielewa. Nikaanza kumpa sifa mbaya za yule demu ambazo watu wananiambia na wananishauri nimwambie yeye waachane yani. Tena nikamwambia arudiane na yule mpenzi wake wa zamani maana huyo mpenzi wake wa zamani alikuwa anampenda sana jamaa.

Huyo rafiki yangu akanisikiliza akakubali baada ya hapo ikabidi nitafute namba ya yule binti yani ndani ya siku mbili tu nikawa nishaipata kutoka kwa rafiki yake na yule binti.

Nikaanza kumchatisha nikamwambia mimi shemeji yake nikampamba vya kutosha yani nikamuomba tukutane akakubali tulipokutana nikaanza kumkandia rafiki yangu Dah tamaa hizi.

Sasa nikaja kumaliza mchezo kutengeneza fumanizi hapa ishu ilikuwa simple sana. Nikamwambia jamaa arudi kwa yule mpenzi wake wa zamani akamuombe msamaha warudiane. Jamaa akakubali na hilo ndilo kosa alilolifanya.

Siku wanaenda kukutana ilikuwa usiku kama saa 2 hivi na mimi nikampanga yule binti aende watakapo Kutana wale wapendanao binti kwenda akashuhudia kwa macho yake jamaa anaomba msamaha. Binti akatoka pale na hasira kama zote.

Hasira za mkizi baada ya lile tukio sikuvunga nikaenda kujifanya namfariji na kumpooza pale pale na mimi nikafanya yangu jibu nililopewa nisubiri ila nisimtende kama rafiki yangu tu. Nikamwambia hiyo haitotokea .

Basi baada ya siku kadhaa akanipa zawadi pendwa nyie maisha haya acheni tu ile mali jamaa angeenda kuifaidi ile .

Kiukweli tulipendana sana mawasiliano hayakuisha hata baada ya likizo kuisha. Ila baadae wakahama pale walipokuwa wanakaa baada ya mda kama mrefu kupita kama miaka 11 hivi nikafanikiwa kuonana naye tena kwa kupitia rafiki yangu huyo huyo.

Ila tayari kuolewa na anamtoto mmoja nina mpango wa kwenda kupasha kiporo mda wowote kuanzia sasa. Yupo anaishi mbezi kama unamkeo na unaishi mbezi na anamtoto mmoja yupo anauza duka la dawa muhimu jiandae mwanaume nakuja kupasha kiporo changu maana ameshanipa hadi ratiba zako zote(•‿•). Yule binti anajua kwa kweli.

KAMA MTU NIMEMKWAZA MTANISAMEHE TU ILA MIMI MWENYEWE HII DEVIDE AND RULE NISHAPOTEZA MADEMU WENGI SANA SHULENI.

gettyimages-72470826-1588872334.jpg
 
View attachment 2100791
Ungewekeza hizo akili kwenye kutafuta pesa ungefika mbali, vijana wa leo ujinga mtupu kwahiyo unajisifia kwa huo unafiki wakijinga
 
Karibu Sana na mimi ndio mume wa huyo mwanamke, jiandae hilo dushe kubaki nusu kama siyo kusinyaa milele. Babu yangu aliniacha vizuri.

Kama hiyo haitatosha, jiandae kugandia kwake kama sumaku. Nitakusumakisha hadi ujute kuzaliwa!!

Karibu sana!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom