Sifa Za Mwanamke Mwenye Ubora Na Kiwango Cha Juu

Dec 13, 2013
8
15
  • anajieshimu
  • Msafi
  • anayo mahusiano mazuri na wazazi wake sana sana Baba
  • Anafanya mazoezi na kula vizuri
  • Anapenda watoto
  • Sio mbea
  • Avuti sigara,bangi,shisha na kunywa pombe
  • Sio king'ang'anizi
  • Anapendeza muda wote sio tu wakati wa kwenda out
  • Kalala na wanaume wachache na anatembea na mtu ambaye wako tu na mahusiano
  • anapenda kupika
  • anajiamini kuwa yuko bora bila make up
  • anasupport malengo yako
  • Mcheshi na anajua kuongea na watu wa kila aina

Je sifa gani nimesahau kuongeza?
 
Sifa zote hizo anaweza kuwa nazo kama atakua na mwanaume bora
 
Wanawake wametofautiana sana, hawezi kuwa na vyote hivyo...
IMG_20220304_073037.jpg
 
Na wanawake wa ivyo hupata wanaume wa ovyo kuwahi kutokea katika sayari hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom