luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,205
- 1,659
Hapa ni shauri mbalimbali kwa wakina dada
Mimi ushauri wangu kama wewe mwanamke haupo tayari kulala na mwanaume chonde chonde usimlie pesa zake,
Nimeshuudia hapa jirani mdada yamemkuta mambo mazito baada ya kula hela za msera hafu akawa anagoma kutoa mzigo.