Mke kamuombea mmewe kazi Kwa mchepuko

Mke kamuombea mmewe kazi Kwa mchepuko

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
704
Reaction score
1,380
Ni mmoja kati ya walioitwa kutoa ushauri baada ya mwanaume kugundua bosi wake ni mchepuko wa mkewe na kazi anayoifanya aliombewa na mke wake.

Story iko hivi

Jamaa alikuwa na kazi nzuri na maisha ya mtanzania wa kati, Mkewe alikuwa akisimamia mradi aliofunguliwa na jamaa. Baada ya Kazi kubuma jamaa aliamua kukaa nyumbani na kuacha mke aendelee kuiendesha familia Kwa mradi wa jamaa.

Siku zilienda jamaa akawa anapokea malalamiko kutoka kwa mke kuwa hatafuti pesa, kazi yake ni kukaa tu. Siku zimeenda mke akaja na taarifa nzuri ya kumpatia jamaa kazi nyingine nzuri kuliko ya mwanzo.
 
Umeme umekatika kwa mtoa mada
Nitaileta yote baada ya kikao

Wanaume Tujitahidi kutafuta pesa zisikate na tuepuke kuoa wanawake wazuri Sana

Huyu mwamba anamwaga machozi ambayo sikutegemea Kama anaweza kulia kiasi hiki
Mwanamke hana muda anadai apewe talaka
Mwamba ndo anatetea ndoa ibaki kisa wana watoto
 
Nitaileta yote baada ya kikao

Wanaume Tujitahidi kutafuta pesa zisikate na tuepuke kuoa Wanawake wazuri Sana

Huyu mwamba anamwaga machozi ambayo sikutegemea Kama anaweza kulia kiasi hiki
Mwanamke Hana muda anadai apewe talaka
Mwamba ndo anatetea ndoa ibaki kisa Wana watoto
Angemvuruga huo USO ahakikishe Hana meno alafu ampe talaka shwaini kabisa

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Nitaileta yote baada ya kikao

Wanaume Tujitahidi kutafuta pesa zisikate na tuepuke kuoa Wanawake wazuri Sana

Huyu mwamba anamwaga machozi ambayo sikutegemea Kama anaweza kulia kiasi hiki
Mwanamke Hana muda anadai apewe talaka
Mwamba ndo anatetea ndoa ibaki kisa Wana watoto
Mwanamke akiomba talaka mpe haraka iwezekanavyo, halafu wewe angalia Mambo mengine!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom