Naona hili linazidi umri wangu

Naona hili linazidi umri wangu

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,352
Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda.

Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa moja nipotee kwa muda au la. Jana asubuhi by saa 3 tulikuwa tunashiriki tendo, mtoto shule anakwenda saa nne asubuhi kwa mujibu wa ratiba zao. Sasa mimi nipo chini yeye juu, mtoto akapiga hodi bila aibu huyu wife akamuambia sukuma mlango.

Nitamtazama vipi mwanangu kwa hali kama hii? Mbaya zaidi yeye hajali anacheka tu. Mtoto ana miaka 6 najipa moyo huenda hajui kilichokuwa kinaendelea.

Yaani nataka kuinuka ananilalia na mwili wake wote huku anacheka. Yaani mke wangu ananisononesha sana. Mtoto ameona maziwa mpaka shanga za kiunoni za mama yake.

Nimrudishe kwao akajifungulie kule? Jamani mimi ni mtu mzima ila nimekwama, msaada! Mwenzangu hajui nini maana ya kudhalilika.
 
Baadae tuanze kuulizana hivi watoto wa siku hizi mambo ya kikubwa wanajifunzia wapi? Tuition iko home, TV na wazazi na mziki utasikia unapunguza utamu
 
Back
Top Bottom