Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi guys, Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao...
67 Reactions
1K Replies
109K Views
Habari wakuu. Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa. Amekua akinisaidia hapa na pale. Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi...
5 Reactions
99 Replies
8K Views
Habari za usiku huu ndugu. Kwenye maisha haya ya kiliberali ili yasonge mbele kila mtu anatakiwa aishi vile anavyotaka. Kimjini mjini wanasema kila mti kimpango wake. Yaani unaishi bila kuuliza...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu dada nilimpenda sana. ila ilifikia hatua nilishindwa endele naye. kwa mara ya kwanza niameanza kuwaza kuoa nilimfikiria huyu dada. Alikuwa ametoka maliza chuo IFM nikaona ni msomi na mrembo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu...
3 Reactions
88 Replies
9K Views
Maisha haya bwana magumu saana. Nilikuwa na mwanamke wangu mzuri ambaye nilipendana naye saana. Huyo mwanamke alikuwa msaada mkubwa saana kwangu. Alikuwa ni mtu mwenye akili ya kufikiria...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Nilibahatika kualikwa kwenye shughuli moja katika hotel maarufu hapa Dar, tukiwa kwenye meza kubwa, tuli share meza na wadada watatu. Kwa mionekano walikuwa wamependeza, wananukia, na kiukweli...
46 Reactions
216 Replies
13K Views
Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!! Pumbavuuu, kaona...
29 Reactions
117 Replies
7K Views
Kiukweli niko kwenye mahusiano serious na mwanamke mmoja ambaye ni mzuri sana tuu lakini pia kuna michepuko ambayo nayo ni pisi kali. Ishu ni kwamba huwa kuna vibinti vya kawaida tuu tena sana...
11 Reactions
65 Replies
7K Views
Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi: " MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU 1. NINA KUPENDA 2. NINAJIPENDA. Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende...
9 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari wanajamii forums, Ni uzi maalumu kwa ajili ya wale wote walio experience kupendwa na watoto wa kike, kikubwa nahitaji kufahamu kuwa: ✓Hawa viumbe huwa wanaonesha ishara zipi mpaka...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa...
27 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wapendwa; Niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona...
5 Reactions
117 Replies
10K Views
Ladies and gentlemen, mliooa/olewa msaada wenu unahitajika hapa. Nikiwa kama kijana wa kiume ambaye sijaoa, nimeona si jambo baya endapo nitaomba utayari wenu muweze kushare nami experience...
1 Reactions
9 Replies
988 Views
Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu poleni na msiba. Mimi ni Mkristo ilaa, navutiwa sana na wanawake wanaopenda kujisitiri miili yao, ndugu zetu waislamu dada zao wanajitahidi sana. Unajua bwana heshima ya mwanamke ni...
31 Reactions
144 Replies
13K Views
Hellow wakuu, Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari Wakuu Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23]. Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye...
14 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimetoka 'out' na huyu bibie mfanyabiashara wa madini; baada ya kuingia kiwanja cha kwanza, tukapiga pombe kama bia 3 kila mmoja, tukahamia kiwanja kingine, pale tukapiga bia kama 5 kila mmoja...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…