Baada ya shoo, hatusemeshani na mpenzi wangu

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,407
Nimetoka 'out' na huyu bibie mfanyabiashara wa madini; baada ya kuingia kiwanja cha kwanza, tukapiga pombe kama bia 3 kila mmoja, tukahamia kiwanja kingine, pale tukapiga bia kama 5 kila mmoja, pamoja na kuku 2 wa kuchoma.

Baada ya hapo, tukaenda mapumzikoni; nikapiga shoo ya uhakika, anapiga kelele mimi nachochea ukuni tu; baada ya shoo hataki kuongea na mimi, kwa sababu nimemchosha kwa kutumia muda mrefu, akasema hataki kwenda nyumbani tena, anataka aende club.

Baada ya kumpeleka club, hataki kuongea na mimi kabisa kwa sababu anasema sina huruma nilitaka kumkomoa.

Ikabidi tutengane meza, akawekewa vinywaji vyake, nami nikachukua vya kwangu huku nikiangalia mieleka wwe, pamoja na warembo wazuri wanavyosakata rumba.

Baada ya kumaliza vinywaji vyangu; nikalipia bill pamoja na kumpa hela kidogo ya tahadhari ili awe huru.

Nimeondoka sasa hivi nimemuacha club, akiamua kugongwa na wengine ni yeye tu; mi namtafutia sababu ya kuachana naye, kwa sababu michakato ya biashara yake inanichanganya.

Wakuu niko sahihi?
 
Mtupe tu hana lolote huyo! Ina maana hajawahi kunyanduliwa kama ulivyomnyandua?

Au ndo kaona hujui lolote ndo maana kakuootezea maana dem ukimridhisha huwa anaongeza mapenzi na kukubana zaidi, kingine biashara ya madini anayofanya ni madini yapi!?

Maana Kuna madini ya kupima kwenye viroba kama mahindi na kila kiroba ukalipwa si zaidi ya 30k na kuna yale ya gram kadhaa tu unalipwa mamilioni.
 
Mtupe tu hana lolote huyo! Ina maana hajawahi kunyanduliwa kama ulivyomnyandua? Au ndo kaona hujui lolote ndo maana kakuootezea maana dem ukimridhisha huwa anaongeza mapenzi na kukubana zaidi, kingine biashara ya madini anayofanya ni madini yapi!? Maana Kuna madini ya kupima kwenye viroba kama mahindi na kila kiroba ukalipwa si zaidi ya 30k na kuna yale ya gram kadhaa tu unalipwa mamilioni.
gold mkuu, tatizo simalizi haraka
 
Mtupe tu hana lolote huyo! Ina maana hajawahi kunyanduliwa kama ulivyomnyandua? Au ndo kaona hujui lolote ndo maana kakuootezea maana dem ukimridhisha huwa anaongeza mapenzi na kukubana zaidi, kingine biashara ya madini anayofanya ni madini yapi!? Maana Kuna madini ya kupima kwenye viroba kama mahindi na kila kiroba ukalipwa si zaidi ya 30k na kuna yale ya gram kadhaa tu unalipwa mamilioni.
Anazungumzia makristo, maislamu, masabato, mabudha, mahindu n.k
 
Mkuu madem wengi hawapendi kidume kimalize haraka tatizo linakuja pale ambapo umalizi haraka alafu unamkera tu kwa kutokumaliza kwako! Kama umkeri yaani the way unavyokaa juu yake na bado akawa anasikia utamu bila karaha za harufu ya jasho mdomo nk basi wao ndo wanatamani hata uikeshee kabisa!!!!
Akishamaliza yeye anataka na wewe uwe umemaliza
 
baada ya shoo hataki kuongea na mimi, kwa sababu nimemchosha kwa kutumia muda mrefu, akasema hataki kwenda nyumbani tena, anataka aende club.

AMECHOKA AFU AKATAKA KWENDA CLUB?? HUKUMPIGA MITI VEMA MKUU ALIKUIGIZIA TU AU HAKUELEWA SHOO😀😀😀
 
Back
Top Bottom