Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Content unavailable
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi. Nikahama...
13 Reactions
98 Replies
6K Views
Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Nyakati zimebadilika; nyakati za sasa zinahitaji uwe na rafiki wa faida na sio rafiki wa kupiga tararila (maneno maneno). Pia tukumbuke, maisha yanahitaji pesa na sio maneno. Kwa mazingira...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Huu upuuzi sijui alianzisha Nani, kwamba kifo cha mende ni mkao wa watu wenye Maadili na kustaarabika. Kiukweli, [emoji117]kuna wanawake huona mikao mingine kama utovu wa Maadili kwa mwanaume...
22 Reactions
145 Replies
19K Views
Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana. Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo...
12 Reactions
176 Replies
9K Views
Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa, Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wana Jamii Forums, Kuna tatizo la kiufundi limetokea hapa jirani na nyumba yetu kwenye nyumba kubwa yenye bati la msauzi na ndinga mbili za maana ndani ya uzio. Sauti ya mama mwenye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika. Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Nilikuchezea sana miaka ile uliponitembelea. Sikukuchukulia serious. Niliamini tungekaa pamoja hadi kifo, kumbe ulikuwa unapita tuu. Sikujua ilivyo vigumu kukupata. Umeniachia kumbu kumbu nzuri na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake[emoji817] Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :- [emoji830] mwanaume hafiki...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka, Namshukuru Mungu...
14 Reactions
100 Replies
7K Views
NB. Hakuna anayeshare story ya maisha/Mikasa yake kwa nia ya kupata sifa. Kwanza hapa hatufahamiani, Siwezi tafuta sifa kwa watu ambao siwafahamu. Kwa hiyo comment zenu kama mna undugu na Malaika...
51 Reactions
144 Replies
15K Views
Tulikuwa kwenye uhusiano na huyu mrembo, kati ya vitu alivyowahi ku confide kwangu ni kuwa yupo close, anampenda sasa baba yake. Nikataka kujua uhusiano na mama yake ukoje akaniambia hawako close...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Nina uhakika 80% nimemwanza. Miaka 17 siku ya kwanza kusex nae dushe lilikua halipiti saa lilikata baada ya kupita alipiga kelele kama nimechoma kisu mwisho wa sex shuka dam, baadae kabadili pichu...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Marafiki wa humu salaam sana Natumaini mmeamka vyema na kuanza ujenzi wa Taifa chini ya uongozi wa Sizonje Niende direct kwenye mada husika Nna mpango wa kubadili dini so nahitaji nijiunge na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na...
10 Reactions
85 Replies
6K Views
Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Ni mke wa mtu but kutokanana na mumewe kutokujali anahitajika mwanaume kwa ajili ya kumuondoa upweke,kuhusu yeye yuko na miaka 27,ni mjasiriamali. Mwanaume anaehitajika awe na shughuli yoyote ya...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Back
Top Bottom