Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii...

Paula Paul

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2019
Messages
557
Points
1,000

Paula Paul

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2019
557 1,000
Hi guys,

Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao wameshaonesha hisia za kimapenzi kwetu lakini hatujavutiwa nao kama wapenzi.

Mbali na kuwakataa kama wapenzi tunaona they are obligated to keep being our friends na ikitokea tofauti basi unakuta tunaanza kulalamika “Fulani mbona siku hizi haunipigii, umenigaya siku hizi n.k”

Nimewahi kuambiwa kwamba mwanaume anayemweka mwanamke kwenye friendzone anaweza kuwa gay, sasa wanaume wakaamua kuja na "zone" yao ambayo ni fuckzone. Mwanaume ukiwa na hisia naye za kimapenzi na kama hakupendi yeye hakuweki friendzone (ni makosa) bali anakutupia kwenye fuckzone au anakupotezea kabisa.

Akikuweka kwenye fuckzone kila mkikutana ni sex tuu lakini hakupendi na hataki ubaki kwake kama rafiki yake tu. Huwa inauma sana pale unampenda mwanaume lakini yeye anakuona kama fucking material, na sio mtu anayeweza kuwa na mahusiano na wewe.

Je, ulishawahi kumweka mtu kwenye frienzone licha ya kuonesha hisia zake za kimapenzi juu yako? Ipi ilikuwa sababu ya kutaka au kumfanya awe rafiki yako na sio mpenzi wako?

Je, ulishawahi kuwekwa kwenye friendzone na mwanamke au mwanaume unayempenda? Ulijisikiaje? Je, ulikubali kuwa kwenye friendzone au uliamua kumfuta kabisa kwenye maisha yako?

Vipi ulisha-fuckzone na mtu yoyote, ulijisikiaje ulipogundua kwamba hakuwa anakupenda? Na wewe kwanini uliamua kumweka kwenye fuckzone na siyo kumkubali kama mpenzi wako? Ipi ni mbaya kati ya friendzone na fuckzone?

Yangu hii, I met this guy licha ya kunionesha hisia zake juu yangu niliamua kumwomba awe rafiki yangu, he walked away with no further word, kwa kweli sikutamani kumpoteza nilitamani abaki kwenye maisha yangu, nikawa nampigia namtext hapokei wala hajibu until he told me he just couldn’t be around me because it was too painful. Nikajifunza kama simpendi mtu haina haja ya kumtaka awe rafiki yangu.

Karibuni.
 

mzee toboa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
272
Points
1,000

mzee toboa

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2017
272 1,000
As a Man, I have a hard time trying to be friend with a girl I am sexually attracted to. Wakati huko namwona eti yupo na mwanaume mwingine na mimi nacheka tu?.

Kuna huyo mmoja aliniweka friendzone nikaachana naye. Kasikia nimeoa akaanza wivu na kujidai kaumia. Alidhani I would stay single and parsue her forever. Sasa hivi nimeoa na nimemweka kwenye fuckzone maana ndipo anapostahili.
 

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
1,840
Points
2,000

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
1,840 2,000
The problem is u put us in friend zone at the same time ur expecting relationship zone treatments, If am in friendzone dont expect anything than u being a friend.
Umesema vema, mtu anajifanya friend then utasikia niunge bando si balaa hii.
 

uungwana classic

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Messages
2,017
Points
2,000

uungwana classic

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2014
2,017 2,000
Nakaaga friendzone mara nyingi sana tu na huwa sioni tatizo ila nashindwa kuendelea kuwa friendzone pale ninapokuwa na mahusiano na mwanamke maana unakuta huyo aliyekuweka friendzone anaanza kuwa na wivu wa kimapenzi au anahitaji time yako wakati wewe upo na mwenzio.
 

92Ubuntu

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Messages
191
Points
250

92Ubuntu

Senior Member
Joined Jan 8, 2014
191 250
It's really painful but mimi huwa inakuwaga friends with benefit lazima ipo siku utabenefit tu mkiwa alone. Hisia zitawatawala na kama kuna influence ya Alcohol ndio baaaaaasi

najaribugi sana kujizuia but they keep coming kwa kigezo cha advise, story na hata movies sababu mimi napenda sana Movies, Tukisha kwich kwichi the next day sura ya mbuzi kauzu as if yesterday it ddnt happen shit.
 

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
2,400
Points
2,000

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2016
2,400 2,000
As a Man, I have a hard time trying to be friend with a girl I am sexually attracted to. Wakati huko namwona eti yupo na mwanaume mwingine na mimi nacheka tuu?.
Kuna hako kamoja kaliniweka friend zone nikaachana nae. Kasikia nimeoa akaanza wivu na kujidai kaumia. Alidhani I would stay single and parsue her forever. Sasa hivi nimeoa na nimemweka kwenye fuckzone maana ndipo anapostahili.
Safii
 

Forum statistics

Threads 1,358,421
Members 519,294
Posts 33,167,946
Top