Special kwa ambao mmewahi kupendwa na wadada

Special kwa ambao mmewahi kupendwa na wadada

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
236
Habari wanajamii forums,

Ni uzi maalumu kwa ajili ya wale wote walio experience kupendwa na watoto wa kike, kikubwa nahitaji kufahamu kuwa:

✓Hawa viumbe huwa wanaonesha ishara zipi mpaka mnatambua kuwa wanawapenda!? Make mimi kuna msichana alikuwa anapenda kutabasamu kila alipokuwa akiniona lakini pale nilipojaribu kumwambia nampenda! Niliambulia matusi ya kila rangi! ( Sirahumu sana make ni kibinti cha miaka 18)

✓Na je mnapowafuata huwa mnavunga nyinyi ndo wenye shida nao (mnawatingoza ninyi) au mnawatega mnawala kimasihara?

Any way,

Uzi nimeandika nikiwa na usingizi!

Nasubiri wenye mamlaka waje kuufuta!

Lakini nahisi nimeeleweka!

Nasubiri mwongozo.
 
[emoji828]Lazima atatafuta namba zako za mawasiliano
[emoji828]Atakuwa karibu na wewe kila mara akuonapo
[emoji828]Enzi zetu tuliletewa hadi maua. Kwahiyo vizawadi vya hapa na pale haviiishi
 
ukipendwa na mwanamke utaenjoy sana maaana wanakuwa romantic hataree kama zawadi za mashati nk utazipata ila tatizo lao moja tu
 
Kuna manzi alikuwa ananipenda san Full ma zawadi kila siku anakuja Job kunicheki alikuwa hanipigii simu anakuja bila taarifa .nikafanya mipango ya kumla bila tongozo daah niliambulia matusi .hadi leo Hajawai nitafuta tena.
Boya wewe
 
99% ya wanawake niliojaribu kua na mahusiano nao walinifuata wenyewe, and guess what! They (relationships) all had tragic end.
NB: Mwanaume ndio anatakiwa amshawishi mwanamke na sio kinyume.
Inategemea, ukipendwa na mwanamke akiwa deep in feelings kabisa halafu ukam-accept vizuri maisha huwa ni mazuri sana.

Shida itakuja pale ambapo anaekupenda huwezi kumpenda no matter how unajaribu namaanisha ONE SIDE LOVE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom