Ni mwaka wa 7 sasa sijawahi kuombwa hela na Wanawake ninaokuwa nao kwenye Mahusiano

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,014
Salute bosses! Kuna muda nachanganyikiwa.

Nasikia kilio kwa mbaaaali kutoka kwa me wengi mara oooh wanawake wamekuwa opportunistic, wanapenda hela n.k. Najishangaa sana mimi, na miaka hii 28 ni mwaka wa saba sasa tangu nilipojitambua na kuacha kuwa mvulana. Now ni mwanaume, yaani sijui nina gundu. Kila nikigusa dem anakubali. Wanachuo ndio usiseme yaani! Ajabu siombwi hela mpaka nijisikie kutoa.

Mizigo naletewa bureeee Mpaka now sioni umuhimu wa mapenzi. Raha ya mapenzi msumbuane, kama ni mzigo uhonge usumbuliweee. Sasa mimi nishakinai, kila ninayemtaka anakubali hii inanikinaisha sana. At my early 20's nilikuwa na dhiki ya k sana. Nilizifukuzia ila now naletewa tena na ke wenye vismati vyao. Mpaka najishangaa. Mbona mimi navaa local sana(ni uvaaji ninaoupenda)?

Mbona naishi kawaida sana? Mbona muonekano wangu sio wa kijanja? Nimekuwa nalazimika wengine kuwaacha kwa siri bila kuwaumiza, nisipofanya hivyo msururu utakuwa mkubwa sana. Sasa sijui ni nini hiki. Nilikutana kazini na mtoto wa kigogo x(nilishamtoleaga uzi humu) akanielewa ila nikamuweka pending.

Seriously wajuvi akina Mshana Jr nifafanulieni hili. Imekuwa too much sasa. Yaani mimi wa kuchagua leo nile k ipi kweli? Inakinaisha sana. Nina nini mimi? Mbona niko kawaida sana? Hapa nawaza nimpigie ke gani aje.

Kwa nauli yake yaani, aje na kunipikia aiseee hii sio normal. From 21 yrs sijawahi kukataliwa wala kuombwa hela. Natoka na demu yeyote ninayemtaka na jeuri hiyo ninayo sijisifii. Mshana ufafanuzi please!

Nisiongee mengi kuna watu wasije waka fungua code nikawa cracked
 
Una mademu sitini na kumi sisi hatumjui shemeji yetu yupi, sisi tunachofanya ni kukukanya. Mbona sasa kijana mwenzetu umepagawa
 
Back
Top Bottom