Habari wakuu
Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili...
Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu...
Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali...
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha.
Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua...
Wanajamii nina kitu kimoja mnipeni mbinu ya kuumkataa mshikaji wangu ambae naona hana faida kwangu bali ni kupe. Picha linaanza huwa ananishawishi sana kwenye sehemu za bata ili hali yeye hatoi...
Kwema?
Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni...
Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe.
Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi...
Habari zenu,
Leo sina maneno Mengi ila ni kuwajuza tu kuwa Mimi Decor Bysco nikiwa na akili zangu timamu, Ninasimama mbele ya umati huu wa JF nikisema kuwa SITOKAA NIOE.
Hii ni kwa sababu...
....Natumaini mu wazima wote....
....Hapa ninapokaa, kuna nyumba nyingine iko karbu yangu...
....Kila siku saa nne au tano, naskia ngu ngu milio ya kitanda...
...Jamani ni kila siku iendayo kwa...
DOKEZO:
Leo nimeamua kushusha uzi huu kutokana na video iliyovuma sana mitandaoni hasa twitter ndani ya siku tatu zilizopita. Video ilikuwa ikionyesha Jamaa akimletea zawadi ya Happybirthday...
Kama Mnakumbuka Kuna Kipindi Niliweka Uzi Wangu Unaonyesha Dalili 10 Za Kumjua Mwanamke Aliyetoka Kufanya Mapenzi Kama Ni Mkeo Hatimaye Leo Nimekuja Na Mbinu Mpya Kabisaa Ambayo Itakusaidia...
boobs in the world?! Well, according to bra company ThirdLove's breast shape dictionary, women have one of nine different sets of breasts. All boobs (and nipples) are totally normal, but...
Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale...
Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa,
Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu...
Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo.
Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti...
Sema kweli mapenzi yana raha yake hasa kipindi cha mwanzoni kabisa yanakuwa mahaba niuwe.
Kwenye uwanja wa sita kwa sita unaweza kupiga kuanzia goli 5 na kuendelea!, ila inafika kipindi unamchoka...
Kama una pesa haifai uteseke na mapenzi fanya hivi tafuta MWanamke mdogo mdogo mwembamba mrefu ambaye kaishia elimu ya msingi tu au secondary asiye na kazi Tena wa kutokea kijijini ila hakikisha...
Mke akimbia nje ya kanisa wakati wa kufunga doa baada ya kugundua Mchumba wake ambaye anafunga naye ndoa alimdanganya kuwa anafanya kazi shirika la mafuta na ni muhasibu, baada ya dada huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.