Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Kwema?

Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni mara chache saana atafanya hivo.

Sasa wewe ukiona unamtongoza mdada huna nae ata week kashaanza kulilia shidaa duuh huyo hakufai achana nae atakusumbua saana

She is a gold digger
 
Tafuta pesa kijana
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
 
Ya Ku arrive there au sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my [emoji482] using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapo hamna mwanamke maana siku jamaa akikosa hatamuelewa
 
Uongo unakusaidia Nini Mangi!!? Acha kumsingizia Huyo jamaa wakati unazinguliwa wewe na huyo Demu.

Ushauri: piga chini hicho kinyamokera .
 
Mpe Pesa mwanamke acha kujidanganyaa honga kadri ya kipato ulicho nacho nadhani duniani kusingekuwa na wanawake pesa isingekuwa na dhamanii
Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu lakinii ninyi wanaume wenzangu mnataka mwanamke azae kwa uchungu na ale kwa jasho hiyo siyo kama huwezi kumtumza kuwa single tuu ukitanga upendwe gharamiaa bro oohoooo
 
Sema mzee hujaelewa soma vizuri... sijaandika sehemu inayosema usimpe mwanamke hela
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Maandiko ya Mungu yanasema tuishi nao kwa akili...
 
Asante kwa kunishtua. Inabidi wanaume tukumbushane kwenye suala hili maana wengi tunajua ila kujisahaulisha au kujaribu bahati. Hapa kuna manzi kaanza kunipigia tangu juzi wakati naumwa anataka mchango wa nini sijui, hajawahi kunipigia before na nilimtongoza miezi kama sita nyuma uko ila akasema ana mtu. Sasa ananiita mpenzi nashtuka.

Kuna huyo nilimpiga chenga la mwili kwenye birthday yake mwezi huu maana alinichomolea nikafuta namba yake ila baadae akanitafuta. Mapenzi ya simu ila kukutana hataki, wakati ananitafuta alikua kabakiza siku 6 iwe birthday yake. Akili ikakataa wala birthday sikwenda au kutoa zawadi na tangu hapo hakupokea simu yangu wala kujibu, na mimi sina hasara hela zangu mfukoni zipo.
 
Back
Top Bottom