Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

copied but ni real life story
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more. Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo. Siitaji.
15 Reactions
137 Replies
8K Views
Hivi hii code inamaanisha nini? Niliwahi kuwakuta jamaa fulani wanazungumza maongezi yaliyoonekana nyeti mno kwa lugha ya kiingereza. Nilichoambulia ni hiyo code kwa sababu walikuwa wakitamka...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye...
13 Reactions
98 Replies
6K Views
Wanajamvi yale Mapenzi ya Kihindi ya kuchat na kuongea muda wote, kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja, kula pamoja, kuoga pamoja, kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana...
16 Reactions
79 Replies
4K Views
Habari zenu wana, Siku kadhaa zimepita nilikua matembez maeneo ya bububu Zanzibar, nikakutana na binti mmoja nikaomba namba akanipa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hiko hivi, Nimepata masimulizi kutoka kwa jamaa yangu sana yanayomsibu. 1. Ni mtu wa moyo Safi, Ila atawale aliowasaidia wanamuona nonsense kwa sasa 2. Anasema wakati fulani anasaidia kutoa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
INASEMEKANA: _*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima. *Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. _*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa...
2 Reactions
11 Replies
885 Views
Habari! Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari ndugu na jamaaa wote, Naombeni msaada wa kiakili na kimwili hadi kiroho kuna bint nlimpenda na yeye akanionyesha upendo wajuu sana. Ilipo fikia hatua yakutaka kuoana hapo ndio ikawa...
4 Reactions
79 Replies
7K Views
Habarini wazee Wakati nipo mdogo kulikuwa na jirani yangu Analia kisa mapenzi nikawa namuona muongo huyu anaigiza, nikamwambiaga mapenzi hayaumi akasema kelele wewe bado mdogo leo nimeamini kuwa...
11 Reactions
79 Replies
6K Views
Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo. Unakuta -Mke anakunyima game maksudi kabisa - Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa -Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma. .... Na hurusiwi ongeza mke. hii...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake. Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari Wakuu, Bila kupoteza mda niende Moja kwa Moja kwenye mada. Nilikuwa na mpenzi ambaye ndiyo nilikuwa nategemea kumuoa, kilichofanya nije niulize hapa ni hili tukio. Mimi Niko mkoa...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Najiuliza swali Kwa bahati vinchi nimevitembelea na nimekaa na familia zaid ya 12, nimesoma tabia zao hasa wazungu ni tofauti kabisa na watanzania na wa Africa wengine kwa ujumla, Kwenye suala...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Naje wazee? Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
unamkuta mwanamke ana watoto wawili, alishaachana na mwenzi wake miaka kadhaa iliyopita. Lakini baba watoto wake yupo town anakula ujana hajui hata kama alishawahi zaa' Kwa sababu upo na mama yao...
18 Reactions
277 Replies
64K Views
1 Reactions
2 Replies
823 Views
Natafuta mke/mume Madhaifu yangu ________________ Hasira za karibu Sipendelei ujinga Nimeachika (uchumba/ndoa) mara nne Nachukia uongo Nina kinyongo Mchoyo kidogo N.k Mazuri yangu...
5 Reactions
4 Replies
566 Views
Back
Top Bottom