Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo. Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume...
16 Reactions
267 Replies
12K Views
Deleted
1 Reactions
9 Replies
1K Views
WAKUU, Hii imekaa vipi, Kuna demu mmoja Hivi hajaolewa tunakaa nae mtaa mmoja hapa Kinyerezi, yeye ni Mwalimu wa secondary.... Mara ya kwanza nilikutana nae alikuwa anaenda kazini, nikampa lift...
12 Reactions
247 Replies
14K Views
Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona...
16 Reactions
65 Replies
4K Views
Iko hivi nimekua katika ugomvi wa mda mrefu na mwenzangu( mume) bila kupata suruhu Maumivu ni makali hasa dharau ndani mtu kuwa na wanawake hadharan Wala hajali hata ukilia unaoneka unampigia...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Baada ya kumpokea mgeni wangu, ambaye ni pisi kali kutokea Nyanda za Juu Kaskazini, tukaamua kupiga kambi kwa siku kadhaa katika maeneo fulani ya kujidai. Tulipokuwa kwenye mazingira, ya kukata...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Msidhani kuwa mimi sipendi kuwa na mke au kuwa mume wa mtu.sema kuna mambo ambayo yameniathiri sana kisailojia. Hii ni list ya wachumba 20 ambao nimewahi kabia kutamani kuwaoa ila ikashindikana...
11 Reactions
54 Replies
11K Views
Huyu dada alipitia changamoto baada ya kupoteza wazazi na nikaamua kumsaidia. Tukawa na mahusiano kama mwaka mmoja hivi. Baadae nikamwambia naona tulikutana ili nikusaidie lakini moyo wangu hauko...
24 Reactions
126 Replies
8K Views
Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU. Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake. Ukiona unahonga sana...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi? Natumai mnaendelea vyema na mishe zenu. Nawatakia Jumapili njema popote mlipo. Juzi kati nilikuwa Niko kwetu vijijini nimeenda kuwatembelea wazee wangu kdgo.Sasa Kuna siku...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu...
15 Reactions
115 Replies
8K Views
1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ila wanaume ndio tunaongoza kwa kutokua na siri, wanawake sijui wana moyo gani, wabarikiwe kwa kweli wanakufa na siri zenu nyie show mbovu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuhangaikia kuwa na six packs,yaani kwa sasa ukitembea kwenye saloon zenye kutengeneza kucha na yale maeneo ya gym wamejaa sana wanaume wenye miili mikubwa...
10 Reactions
152 Replies
37K Views
Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuuu baada ya kuona uzi wa mwenzetu mmoja unaogusia baadhi ya watu ndugu, jamaa na marafiki wakisha pata nafuu kutzidi wengine wanavyo jibu au kuleta madharau kwa kina sie ambao bado tuna...
2 Reactions
10 Replies
948 Views
Jamani bila maneno mengi mi kuna suala moja huwa nashindwa kujizuia kama nimeambatana na mpenzi wangu akipita demu mkaliii au mwanamke mkalii hasa aliyefungasha , najikuta naibia ibia jicho...
8 Reactions
80 Replies
10K Views
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili. Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda...
28 Reactions
244 Replies
13K Views
Uzima upo? Niende kwa mada, ukiwa aina ya mwanaume mtanashati, hutaki mazoea, hujali n.k, yaani aina ile ya mwanaume hata mwanamke kusalimiwa na wewe anajisifia na kujiona ana bahati sana. Sasa...
14 Reactions
73 Replies
5K Views
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma Kwa kweli ilibidi nijipe...
9 Reactions
80 Replies
9K Views
Back
Top Bottom