Mwaka 2020 niliikosa pisi executive kutokana na kigezo cha kupima HIV

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara

Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance

Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa

Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma

Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari bila kupima nisigusie kabisa suala la sex.

Uzi huu sio muhimu unawapa taarifa tu.
 
Asilimia kubwa ya wanaohofia hawana.
Walio nao hata kujihisi hawajihisi..

Kama data ziko sawa ni asilimia 4 ya watanzania ndo wanaambukizwa

Rahisi Ku bet na kupata pesa kuliko kuambukizwa but then again.. wasiwasi ndo akili
 
Kacheck afya yako peke yako halafu urudie mzigo mkapime wote.

Virus vya siku hizi havina nguvu.
 
Hii isssue acheni tu, nilizunguka siku 3 hospiatali nakaa kwenye benchi ikifika zamu yangu najidai nimepigiwa simu naondoka mazima huku mwanamke akisubiri simu yangu twende tukapime wote nile mzigo.

nilipima baada ya siku nne na majibu yakatoka vizuri, nikamfata bibie nikaenda nae kupima then nikala mzigo.
Haikuwa rahisi kabisa
 
Fikiria pisi executive inataka kukupa kimasihara

Fikiria imekupa nafasi ya kuipa romance

Fikiria inakwambia ipo tayari kuliwa

Lakini kwa sharti la kupima kwanza ngoma

Kwa kweli ilibidi nijipe dharura kwa sababu ilikuwa ghafla sana. Mpaka mwaka unaisha ile pisi executive ilinipa tahadhari bila kupima nisigusie kabisa suala la sex.

Uzi huu sio muhimu unawapa taarifa tu.
Kwani kondomu ziliisha
 
Asilimia kubwa ya wanaohofia hawana.
Walio nao hata kujihisi hawajihisi..

Kama data ziko sawa ni asilimia 4 ya watanzania ndo wanaambukizwa

Rahisi Ku bet na kupata pesa kuliko kuambukizwa but then again.. wasiwasi ndo akili
Ulichoongea ni kweli kupata ukimwi sio rahisi unless uwe unaenda kavu Mara nyingi na unakamia shoo kavu, Ila ukiwa mtumiaj wa kondomu kuupata inakua ngumu, na haushi maisha ya stress
 
Mimi nilienda nae..nikasema hata iweje sipimi..mambo ya kupima damu kubwa nikamwambia aanze yeye..kikubwa zaidi mishipa yake ikawa ngumu kutoa damu..wametafuta adi madoctor wakasurrender nikawakatisha zoezi nikasema sbr akale ndo turudi tena..kwenye kwenda kula nikasema bado huniamini ata baada ya kuongozana wote kwenda hosp..akasema hapo nimeamini nikajilia kivyepesi..baada ya kuachana akapima mwenyewe kakuta hana na mm nikaimagine sina tu
 
Kuloweka kutamu sema sasa ngoma ndo shida..

Ukiwa huogopi kupima inakuwa rahisi sana..kila demu unayekutana naye unampima,unafanya visual surveillance then unakula mzigo..ila wale wakujiuza hata ukimpima na ukakuta ni negative bado ndom ni muhimu kuitumia
 
Back
Top Bottom