richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 574
- 933
PM iko wazi, karibuNaona huu mwaka unaisha vizuri aiseee pamoja Na wanawake kupondwa kila kukicha lakin bado tupo vizuri
Haya tunakuja Pm fungua
Naona huu mwaka unaisha vizuri aiseee pamoja Na wanawake kupondwa kila kukicha lakin bado tupo vizuri
Haya tunakuja Pm fungua
Hehe ukisoma nyuzi za MMU unasema wanawakee wataolewa kweli
tenaaa jaman??Aisee kila la heri, usisahau kupitia ule uzi wa tulio kosea kuoa
Ni mwendo wa kutafta wenza tuHehe ukisoma nyuzi za MMU unasema wanawakee wataolewa kweli
😂😂😂Aisee kila la heri, usisahau kupitia ule uzi wa tulio kosea kuoa
Familia muhimu sanaNi mwendo wa kutafta wenza tu
Ila ni vyema familia nayo ni muhimu
Ni kweli aiseeeFamilia muhimu sana
Kila kitu hii dunia ni changamotoNi kweli aiseee
Sema kuipata sasa familia yenyew ni changamoto
Na ukishaipata unaenda pambana na changamoto zake
Kwahyo tupambane tuuuKila kitu hii dunia ni changamoto
Ee n akujikazaKwahyo tupambane tuuu
Nenda kwenye Uzi wenyewe "edit" halafu futa content then save, halafu waombe moderator wafute heading..!!Wapi naweza kuufuta huu uzi?
Asante mkuuNenda kwenye Uzi wenyewe "edit" halafu futa content then save, halafu waombe moderator wafute heading..!!
#YNWA