Mke akataa Tsh. 10,000/- ya mchango wa harusi ya baba yake mdogo

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,712
Habari wakuu,

Msaada wenu kimawazo. Mama watoto wangu aliniomba hela ya mchango wa harusi kwa baba yake mdogo nikampatia 10,000/- Akaniuliza ndio hii hela ya mchango ulioniachia? Nkamjibu ndio. Akasema njoo uchukue hela yako.

Nilitoa kulingana na nilichojaaliwa, nawaza aina ya mke niliyenaye
 
Nili enjoy kipindi Cha corona no harusi, tunasikiliza tu hotuba ya harusi kupitia zoom.... Now it's all back!! Shout out to people planning their weddings with their own money!!!
 
Mimi nikajua Baba yake kama nibaba mdogo mwambie Hali ngumu sina Acha kujilazimisha kitu kama huna sema huna akikununa chelewa kurudi
 
My project.jpg
 
Habari wakuu,

Msaada wenu kimawazo. Mama watoto wangu aliniomba hela ya mchango wa harusi kwa baba yake mdogo nikampatia 10,000/- Akaniuliza ndio hii hela ya mchango ulioniachia? Nkamjibu ndio. Akasema njoo uchukue hela yako.

Nilitoa kulingana na nilichojaaliwa, nawaza aina ya mke niliyenaye
Ushauri wangu ni kuwa nenda kachukue hela yako kama alivyosema mkeo...!!!
 
Back
Top Bottom