Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Haiwezekani unaishi na mke ndani lakini hupati raha ya mapenzi Kila ukitaka kugegeda wewe ndo uanze kubembeleza utadhani mmetongozana Leo,wakati mna miaka mingi mko pamoja na watoto mmezaa Mke...
25 Reactions
76 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ukitaka stress basi fanya hivi, utachoka... Ukidate na msichana ambae ametoka kudate na mvulana ambae alimtoa usichana wake na wakaachana ndo akaja kwako...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Wasalamu, Bila kupoteza muda kwanza mimi kijana mwenye umri wa miaka 28 sijaoa hadi mpaka leo japo kimaisha siko vibaya kivile namshukuru Mungu kwa hilo. Sijaoa kwa sababu ambazo hata mimi...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Wasaalam Wakuu, Leo asubuhi nilidamka mapema , wakati huu nilikuwa natoka kibaruani wakati najongea mdogo mdogo nyumbani nikapanda hewani nikampigia Mama, naam mama daVinci XV ,Nilimpgia asubuhi...
15 Reactions
94 Replies
52K Views
Kuna dada nilionana nae mitaa fulan hivi ya beach, mambo yakaenda fasta mwisho tukaishia kulala ila ajabu kwamba yeye kote ni fresh umuone ila maziwa yake ndo anaona aibu eti, mi nikajua masihara...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama mnavyojua Utumbo ni mtamu sana sio "Deodenum, jejenum wala ileum" Hapa nazungumzia ule unaofuata baada ya ileum namaanisha ule unaoshuka yaani Rectum kuelekea kule chini. Kweli ni mchafu...
0 Reactions
7 Replies
721 Views
Kwetu tumezaliwa wanne, wa kwanza n dada angu ambae kwa sasa anasimamia duka la mzee la vinywaji vya jumla, Sasa amekua mbinafsi sana kushare na sisi wengine hizo faida maana mzee yani hilo duka...
7 Reactions
86 Replies
6K Views
Hata kama ni wewe ungeoa kweli. Zigo kama hili ni la ku-buy time ili maisha yaendelee.
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Ni mwanamke mnene sana! ametokea kunipenda! Kila akiniona ataanza kung'ata lips za mdomo wake! mara kucha za vidole vyake! Mara anioneshe tabasamu la hisia kali n.k Umbo lake tu ndo linanifanya...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wadau. Maada yenyewe leo nashare na ninyi adha fulani niiptayo kabla ya Kudo. (Angalizo hii imekuwa ikijitokeza kwa kila mwanamke naekutana nae toka nianze kubarehe) a) Kubaki na Harufu/...
4 Reactions
114 Replies
23K Views
Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike. mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni...
1 Reactions
3 Replies
734 Views
Ujumbe wangu huu hauwahusu wanaume wa Tanga wanaoa mabinti wa kitanga naamini wao wanaendana kitabia hivyo sio issue kubwa sana kuishi katika ndoa. Tuje kwetu sisi ambao si wenyeji wa Tanga na...
54 Reactions
227 Replies
48K Views
Nmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea. Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Habarini, nina imani wote ni wazima Mungu anaendelea kutupigania. Nina changamoto naomba ushauri wakuu. Nina demu nipo nae kwa mahusiano lakini hii wiki sasa temekuwa tukipishana ishu nikwamba...
6 Reactions
108 Replies
9K Views
Unyenyekevu na utii wa wanawake walio kwenye ndoa umekua chini ya kiwango himilivu katika ndoa nyingi na hivyo kusababisha waume zao kupata pumziko la amani kwa wale wanawake wanyenyekevu...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza,shetani anaonekana kufanikiwa katika eneo hili ili aweze kuziteka familia ama kuzivunja,kwa kuliteka tendo la uzazi. Kwa nini wanawake hawaridhiki siku hizi? Ukiachilia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu leo ilikuwa ni siku ya harusi ya aliekuwa mchungaji wangu. Lakini katka hali ya kushangaza,, Bibi harusi hajaja kwenye ukumbi wa harusi. Yaani sendoff imefanyika kwao jana alafu leo siku...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Huu uzi maalum kwa wale waliooa; tunataka kujua faida mnazozipata baada ya kuoa au tuseme ni kitu gani mnaweza tushawishi sisi ambao hatujaoa tuchukue hatua kama nyinyi, hebu mtupe faida...
9 Reactions
88 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…