Wakuu leo ilikuwa ni siku ya harusi ya aliekuwa mchungaji wangu.
Lakini katka hali ya kushangaza,,
Bibi harusi hajaja kwenye ukumbi wa harusi.
Yaani sendoff imefanyika kwao jana alafu leo siku ya harusi mwanamke ameingia mitini.
Cm inapigwa hapokei.
Maandalizi yote yalikuwa tayari yamefanyika na bwana harusi alikuwa ukumbini akimsubili bibi harusi ,hadi muda huu naandika cm hapokei na watu wametawanyika.
Sasa najiuliza hivi watu huwa wanafikiria vizuri kweli kabla ya kutenda jambo,,kweli unamuacha mtu siku ya harusi yenu...watu wamejiandaa ,,wanawasubili unakimbia
Namuonea huruma sana mchungaji wangu,,usiku wa leo utakuwa mgumu sana kwake