Kudate na msichana ambaye kadate na mtu mmoja

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ukitaka stress basi fanya hivi, utachoka...

Ukidate na msichana ambae ametoka kudate na mvulana ambae alimtoa usichana wake na wakaachana ndo akaja kwako jiandae kwa stress, yaani kila mda atakua anaongea kuhusu yeye.

Na kingine nilichoprove, jamaa akimbembeleza anaweza ata kumzawadia tu, kila mda jambo ni hilo hilo, msichana yuko chuo mwaka wa 2, na amekutana na huyo mvulana akiwa form 6, kaja kulala nae akiwa chuo mwaka wa 1, na mwaka wa 2 wakaachana, ndo nikaja mimi..

Ila sasa haipiti wiki hajamtaja, apa ninachofikilia ni kutafta mwanamke slid najua ntampata au awe, ashadate na wavulana ata wanne kulko huyu, ana mapenzi ya dhat ila shda ni ile kumtaja taja x wake
 
Mwanamke ni kama swimming pool usitake kujua nan kaogelea kabla yako wala nan ataogelea baada yako wewe "OGELEA" tu

Hakikisha show yako ni Kali yaan ukiwa na demu halaf anaongelea x wake basi inaonekana hujampa kazi ya maana

Additional point ni kuwa unadate na mtoto so mambo ya kitoto hayakwepek
 
tatizo anazileta yeye izo mada
 
Mwanamke ni kama swimming pool usitake kujua nan kaogelea kabla yako wala nan ataogelea baada yako wewe "OGELEA" tu

Hakikisha show yako ni Kali yaan ukiwa na demu halaf anaongelea x wake basi inaonekana hujampa kazi ya maana

Additional point ni kuwa unadate na mtoto so mambo ya kitoto hayakwepek

Anadate na mtoto au yeye ndo mtoto.!
 
kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ukitaka stress basi fanya hivi, utachoka...

Ukidate na msichana ambae ametoka kudate na mvulana ambae alimtoa usichana wake na wakaachana ndo akaja kwako jiandae kwa stress, yaani kila mda atakua anaongea kuhusu yeye.

na kingine nilichoprove, jamaa akimbembeleza anaweza ata kumzawadia tu, kila mda jambo ni hilo hilo, msichana yuko chuo mwaka wa 2, na amekutana na huyo mvulana akiwa form 6, kaja kulala nae akiwa chuo mwaka wa 1, na mwaka wa 2 wakaachana, ndo nikaja mimi..

ila sasa haipiti wiki hajamtaja, apa ninachofikilia ni kutafta mwanamke slid najua ntampata au awe, ashadate na wavulana ata wanne kulko huyu... ana mapenzi ya dhat ila shda ni ile kumtaja taja x wake
Mpe huduma isiyokifanika zaidi ya ex'wake, hata akimtaja amtaje kwa mabaya yake tu hasa ktk aspect hiyo...
 
kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ukitaka stress basi fanya hivi, utachoka...

Ukidate na msichana ambae ametoka kudate na mvulana ambae alimtoa usichana wake na wakaachana ndo akaja kwako jiandae kwa stress, yaani kila mda atakua anaongea kuhusu yeye.

na kingine nilichoprove, jamaa akimbembeleza anaweza ata kumzawadia tu, kila mda jambo ni hilo hilo, msichana yuko chuo mwaka wa 2, na amekutana na huyo mvulana akiwa form 6, kaja kulala nae akiwa chuo mwaka wa 1, na mwaka wa 2 wakaachana, ndo nikaja mimi..

ila sasa haipiti wiki hajamtaja, apa ninachofikilia ni kutafta mwanamke slid najua ntampata au awe, ashadate na wavulana ata wanne kulko huyu... ana mapenzi ya dhat ila shda ni ile kumtaja taja x wake
Hata umwambie kwa nyimbo na vinanda aache ilo swala, hawezi kuelewa. Ngoja nikwambie kitu kimoja broh, katika Hali ya kawaida sisi binadam wote tupo sawa bila kujalisha jinsia. Kinachokufurahisha wewe, basi na yeye kinamfurahisha. Na kinachokuudhi wewe, basi na yeye ni hivyo.

Technic ninayotumia Mimi endapo hanisikilizi, basi jitahidi kufanya exactly na anachofanya yeye. Siku akianza kuongea habari za jamaa yake, kunogesha story na wewe msimulie about your favorite ex. Msimulie in a such a way atajifeel vibaya. Asipoumia, msimulie about another ex, mpaka imguse. Kwa jinsia girls walivyo, atasusa, atazira na anaweza akanuna kwa cku kadhaa. Wala wewe usiwe na jazba, mwambie kistaarabu kabisa kuwa alivyofeel wakati unamsimulia, ndivyo unavyo feel all the time akiletaga story za ex wake.

Mkuu, demu haachwi kwa kakosa kadogo kama hako, we jaribu kwenda nae sawa tu.

Analyse
 
Wa aina hii tunakula mbususu 24/7 tena na buzza usiache ukizembea itakuwa kama Ahli Tripoli na Mazembe
 
Back
Top Bottom