Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kama mnavyojua Utumbo ni mtamu sana sio "Deodenum, jejenum wala ileum"
Hapa nazungumzia ule unaofuata baada ya ileum namaanisha ule unaoshuka yaani Rectum kuelekea kule chini.
Kweli ni mchafu sikatai na kila mtu anajua hilo, lakini je! umeshawahi kuwaza utamu unaopatikana pale kwenye ulaji wa huo Utumbo.
Narudia tena kweli ni mchafu na kila mtu anajua kwa sababu ndio pitisho la mwisho la uchafu baada ya "deodenum, jejenum, ileum" kufanya kazi yao.
Lakini umeshawahi kuwaza kuula tena kwa mpishi anaejua kuusafisha vyema kwa mapishi ya kitanga na Kizanzibar.
Michepuko kwenye hili wamewin sana wanatoa utumbo kwa kila aina ya mapishi ni wewe kuchagua sahani na sehemu nzuri ya kuinjoi mlo.
Utumbo ni so delicious kiasi kwamba ukianza kula kamwe huwezi acha
Cc Zero IQ