Hizi ni aibu kweli au kuna mengine?

Tempest

Senior Member
Apr 26, 2022
192
296
Kuna dada nilionana nae mitaa fulan hivi ya beach, mambo yakaenda fasta mwisho tukaishia kulala ila ajabu kwamba yeye kote ni fresh umuone ila maziwa yake ndo anaona aibu eti, mi nikajua masihara ishu ikawa serious yaan bora ishu isitishwe kuliko mm kuona hizo ngoma na amekaza mpaka mwisho sababu anasema hapendag watu wayaone ila ishu zingine zote anatoa fresh, anajifunga kitambaa maeneo hayo anakazia kabisa, yaan hata kushika tu ni mzozo.

Sasa nikawa najiuliza mbona miyayusho hii au majini haya au wametumwa na waganga wachukue nyota maana hata kumfikisha hapo kwenyewe sijatumia nguvu nying sana tofauti na siku zote na sijatoa pesa zaidi ya kulipia eneo husika na msosi.

Labda kama Kuna wadau humu washakutana na hizi situation.
 
Kuna dada nilionana nae mitaa fulan hivi ya beach , mambo yakaenda fasta mwisho tukaishia kulala ila ajabu kwamba yeye kote ni fresh umuone ila maziwa yake ndo anaona aibu eti, mi nikajua masihara ishu ikawa serious yaan bora ishu isitishwe kuliko mm kuona hizo ngoma na amekaza mpaka mwisho sababu anasema hapendag watu wayaone ila ishu zingine zote anatoa fresh, anajifunga kitambaa maeneo hayo anakazia kabisa, yaan hata kushika tu ni mzozo

Sasa nikawa najiuliza mbona miyayusho hii au majini haya au wametumwa na waganga wachukue nyota maana hata kumfikisha hapo kwenyew sijatumia nguvu nying sana tofauti na siku zote na sijatoa pesa zaidi ya kulipia eneo husika na msosi

Labda kama Kuna wadau humu washakutana na hizi situation...
Kwa hiyo weye tatizo lako ni nini hapo?
 
Weye fuata ulichokiomba.Hakuna mwanaume anayetaka matiti.Ni mambo ya ziada tu.Mbele-mbele yao.
Expectations zinakuwa low hata hamu ya shughuli inapotea Kwa muda maana unakuwa unatafakal na majibu hupat, pia sio normal hyo kitu kukutana nayo ndo 1st time
 
Back
Top Bottom