Mjifunze kuachana kwa amani kama hivi

TheMnyonge

JF-Expert Member
Mar 25, 2022
739
1,870
Imekuwa kawaida ya watu kuachana kwa fujo, magomvi na wakati fulani matusi, lakini Kuna namna unaweza kuitumia mkaachana bila ugomvi wala kuparurana kama hivi...

Screenshot_20220518-201109~2.jpg
 
Mm tukiachana hata salam hupat maana tukianza mazoea tu nitaanza kudi##sha ovyo ovyo mwisho tutarudiana
Ni uamuzi mzuri, kikubwa asiwe adui yako..otherwise utajikuta una idadi kubwa sana ya maadui
 
It depends umeachana na nani na mumeachanaje. Mie nita base kwa ordinary couples not those that started families.

Some people are so daft, watataka kuendelea na mazoea. Showing up at your place or work unannounced au hawajui mipaka yao ya mawasiliano. Crap.

I suggest you give each other a break after breaking up. Ila mkipishana kitaani brief hellos are okay.
 
Imekuwa kawaida ya watu kuachana kwa fujo, magomvi na wakati fulani matusi, lakini Kuna namna unaweza kuitumia mkaachana bila ugomvi wala kuparurana kama hivi...

View attachment 2229757
... mmoja ana maneno mengi mmoja anajibu kifupi.. huyo mwenye maneno mengi ndiye kitu kizito kimemshukia tiyari na kuna uwezekano mkubwa ndiye mwenye uzi anakuja kujifarijia huku.
 
Hongereni... hope one day ukipata mtaji mkubwa.... Utamrudia huyooo baby mama wako.

Maana issue kubwa hapo ni Cash, mapene, mafedhwaaaa, money and shekeri.
Nilipigwa tukio moja matata, liliniondoa relini kabisa, nusura niuze katembeleo kangu...
 
It depends umeachana na nani na mumeachanaje. Mie nita base kwa ordinary couples not those that started families.

Some people are so daft, watataka kuendelea na mazoea. Showing up at your place or work unannounced au hawajui mipaka yao ya mawasiliano. Crap.

I suggest you gove each other a break after breaking up. Ila mkipishana kitaani brief hellos are okay.
Sure kabisa!
 
Back
Top Bottom