Nilikua nae kwa muda wa miaka mitatu kwenye relation Safi wakati huo naishi nyumbani kwa walezi na kufanya mishe za hapa na pale nae anawa anaishi kwao pia na Ana kazi zake
Nikawa namhudumia...
Mabibi na mabwana!
Mie bwana nina shemeji/ wifi yenu ambaye nina kama mwaka mmoja hivi tangu tuanze mahusiano, ninaishi homu kwa dingi (servant quarter! umri wangu ni 25-27 bado nipo nipo!!)...
Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa.
Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini...
Habari ndugu wana jf
Baada ya kutafakari kwa muda kidogo juu ya solution ya ugomvi na kukosekana kwa maelewano katika mahusiano na ndoa leo nimekuja na mapendekezo kadhaa
Kabla ya kuanzisha...
Habari wadau wa JF,
Natumaini mko sawa, leo nakuja na mada ya MMU ya kuuliza flan hv,nahisi ni umri kusogea au ulikua ulimbukeni wa ujana kipindi hiko.
Ni ule utaratibu ukisafiri, unatamani...
Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja.
Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake.
Mgogoro wa pili...
Nimeamka asubuhi nakutana na sms ya kumtumia kiumbe elfu sabini eti ana shida nayo! Sijui anatumia matope badala ya akili! Hiyo hela ya chap kiasi hiki naitoa wapi! Mahusiano yenyewe yana 2 weeks...
Umalaya ndani ya ndoa si kitu cha kujivunia na cha kusema sawa mwache afanye. Naona wadau wengi wanaona ni sawa kwa mtu aliyeamua kwa ridhaa yake mwenye kuoa kua malaya na kufanya dhambi ya...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba.
Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and...
Mimi binafsi ni kijana wa miaka 27 na mwakani ningependa kuoa ili pia kuwa na watoto mapema tatizo ni huyo wakuoa ni changamoto.
Baadhi ya vijana wakileo tunapitia mambo mengi yanayotufanya...
Imefikia hatua nimeona ni bora nirudi nyumbani Mwanza, nikae wiki kisha nirudi jijini Dar, jiji la biashara [emoji23][emoji23]
Katika pitapita zangu siku chache zilizopita, nilikutana na pic...
Ama kweli maisha yanaenda kasi sana!
Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima?
wako wapi hao wanawake?
Hicho kizazi...
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa...
Habari wana MMU,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Wiki hii nilikutana na demu wangu kwa ajili ya mgegedo. Lakini tukiwa katika harakati hizo, alishangaa first round ikichukua kama dakika...
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale nimefungua ofisi kubwa sana hapa mjini ya kuchezesha game pes sasa hapa ofisini kuna mkusanyiko mkubwa wa biashara sasa kuna mdada mmoja hapa ana genge...
Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂
Kumbe karibu na ile meza kulikua na...
Mfumo dume unamtambua kama kiumbe dhaifu, asiye na nguvu.... Huu ni upotoshaji mkubwa labda nguvu hizi za kimwili na si kiroho....
Namheshimu sana mwanamke hasa asili yake kiroho na in fact...
Hello Wadau!!
Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko.
Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu...
Dogo anaendesha boda boda mtaani kwetu, akapata demu mmoja pisi kiasi akamtokea demu akakubali lakini demu akatoa sharti kwa dogo kwamba Kila watakapoonana dogo ampe demu 20k
Dogo akakubali...