Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni...
11 Reactions
34 Replies
6K Views
Jirani yangu Rosa alijaliwa mtoto mmoja wa kiume. Walimsomesha mtotoekatika shule za gharama na walimpa kila kilichokua katika uwezo wao. Rosa na mume wake walijenga nyumba nadhifu na mume...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
1. Baadhi ya jamaa zako wanangojea kwa siri kushindwa kwako. 2. Hakuna anayejali jinsi maisha yako yalivyo magumu isipokuwa wazazi wako tu. 3. Watu wengi hawabadiliki wanajifanyisha tu wawapo...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Shoo Shoo Kali ni Kali ! Kwa ufupi tu unapotaka kula njaa ni yako na kushiba ni jambo binafsi na kuridhika na msosi ni jambo binafsi hasa ladha ya ulimi wako, ubora wa meno, test ya chumvi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao kiasi kwamba ameshindwa wa kumshirikisha jambo lake...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
(usomaji wa dakika 7) Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi? Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu. Unajua watu wengi tuna hasira...
12 Reactions
39 Replies
8K Views
Mimi bana I was on a stage hall ya high school. . Sasa pale there was no one in the hall. . Lakini bana there still right in the middle of the stage with the lights on and everything. . Ilikuwa ni...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Huyu mama atakuwa kakutana na mlugaluga kunako faragha akaanza kumnyonywa maziwa badala ya kunyonywa titi. Wajanja wa mjini huwa wananyonya titi tu ili kumsisimua mwanamke. Hawatafuti shibe ama...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hawa wanawake zetu wana changamoto sana. Ukiwa around anajifanya hana time na wewe. Since last month nimesafiri niko mbali na home. Sasa hivi anaijikosha hatari,kila siku usiku ananitumia hiyo...
0 Reactions
7 Replies
863 Views
Alhamdulillaah ALLAAH ALIPOTUAMBIA "... هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمۡ وَأَنتُمۡ لِبَاسٌ لَّهُنَّۗ... " "Wake zenu ni vazi lenu na ninyi ni vazi leo" Katika elimu ya TAFSIRI YA QURAN... Yanapotajwa mambo...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa? Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aidha kuchati na simu au kuangalia zake tv. Mwanamke...
11 Reactions
77 Replies
6K Views
Kitu mapenzi haina formula; Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani! Fanya mapenzi yako kwa style yako! Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu wengi tumekuwa tukipuuza ishara mbaya katika mahusiano yetu, lakini tambua kwamba mwenzi unaemshahili atakuwa vile unahitaji. Wanawake wengine siku hizi wamekuwa wakisema wanateswa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sasa naanza kuona utofauti kati yangu na wanaume wengine! Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa tubinti ambatwo mkifahamiana leo, kesho kutwa mzinga! Hisia zimehamia kwa wake za watu sasa! Kwa mara...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa yaliyotokea wanawake tambueni kwamba pesa katika mapenzi ni sehemu ya maisha. Umaskini sio mzuri ila msipende kumkimbilia kuolewa na msiyemjua kiundani. Tukishaona utajiri basi tunakua...
0 Reactions
5 Replies
919 Views
Habari za Muda Wanajf. Wakuu naombeni Ushauri najua Mtaweza kunisaidia. Hiko Hivi nilikuwa nafanya kazi ya mkataba mkoa mmoja wa kusini huko nachomshukuru Mungu kazi nilikuwa nafanya kiuhalisia...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Kama hujamaliza ujana usioe. Kama unasukumwa na marafiki na familia ama jamiii umri umekwenda - usiolewe! Kama unatukanwa na kupigwa ndani ya ndoa ama mahusiano nenda wala usigeuze shingo nyuma...
4 Reactions
15 Replies
881 Views
Nimefanya Tathmini zangu mwenyewe nimekuja kugundua kuwa Vijana wengi wa Kike na Kiume wa zama hizi hawana kabisa Elimu ya Ndoa na Ujenzi wa Familia zao...Haraka haraka hii Teknolojia imetuharibia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ufunua wa Yohana 22:12 Neno: Bibilia Takatifu Yesu kristo anasema, 12 “Tazama, Ninakuja upesi! Nakuja na tuzo yangu, nimpe tuzo kila mtu kulingana na matendo yake. Duniani hatuna muda kabisa...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Waungwana Corona ipo na inaua chukua Barakoa. Nilipata king'asti fulani hivi katika pilikapilika za hapa na pale, nikasema japo cha mtaani nitajitahidi kukiweka sawa. Kuna siku nimetoka naye...
75 Reactions
179 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…