Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sasa kama ana mke si atulie na mke wake kwa nn anatomba tomba ovyo watoto wa watu ona sasa kaingia cha kike
1 Reactions
0 Replies
518 Views
Natumai siku imeenda vizuri! Moja kwa moja kwenye mada, katika jamii yetu ya Kiafrika kuwa na wake zaidi ya mmoja (ndoa ya mtaala) ni jambo la kawaida toka enzi. Changamoto iliyojitokeza ni ujio...
18 Reactions
101 Replies
10K Views
Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu. Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha...
12 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari watu wa JF Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari wadau! Kiukweli na kiasilia mwanamke wa kiafrika ndio mwanamke wa kwanza (mzuri, mwenye upendo wa kweli na vigezo vya mke mwema)kuliko race yoyote Duniani,wazungu walilijua hili...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Watoto katika hatua zao za ukuaji na kujifunza wanakuwa na mambo flani flani ya kufurahisha sana yaani mwanao anaweza kukuvunja mbavu balaa. Mfano 1. Mwanangu (1.5years) anaweza kuwa anatazama...
153 Reactions
714 Replies
121K Views
Salaam!! Ee bana eeh haya maisha bana mambo hubadilika anytime Nakumbuka enzi hizo nikiwa chuo kikuu nilikuwa na rafiki ambae urafiki wetu naweza kusema ulifikia level za undugu kabisa, ni...
14 Reactions
27 Replies
4K Views
Salama wakuu. Naleta Uzi huu kwenu mnipe ushauri napata shida kufikiri Sana kwamba shanga zinaongeza mahaba kwa mwanamke kivipi? Au zimewekewa ashiki kuwa mwanaume akiziona dushe linatuna na...
4 Reactions
76 Replies
12K Views
Mwenyezi MUNGU tunusuru waja wako, Tunahitaji huruma yako na ututie nguvu ili tuwe na mwisho mwema. Iko hivii, Jana ilikuwa ni siku ya furaha kiasi, nimemaliza kazi zangu ndogo ndogo ofisini...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Ni mume Nina Mke na Watoto. Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi. Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi jumapili nikasema ngoja niende kanisani kwanza japo nikashiriki na watu katika ibada ya hapa na pale nikachukua kagari kangu ka ist kabovu nikatoka magetoni kipati mbagala hadi keko kanisa la...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Ngono inaweza kubadili kila kitu Ngono ina tabia na kubadili vitu, na kama ukishiriki tendo la ndoa na rafiki yako wa karibu, aina you ya urafiki wenu hubadilika kabisa. Unapomtazama mtu ambaye...
7 Reactions
47 Replies
6K Views
Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Wanaume wenzangu tunatafuta pesa kwa tabu sana, pia tukishapata pesa nazo zitutese kweli? Hawa wanawake tunaowaita pisi kali ni pasua kichwa, wanaume tukishapata mafanikio tunajinasibu kuwa sasa...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu? Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani na mnaendelea vyema katika mapambano ya kuyatafuta maisha yaliyo bora na mazuri. Wakuu kama mjuavyo, ujana una mambo mengi...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Katika Maisha yangu mimi kula vizuri kulala katika Godoro la Futi 10, Mboga za majani Nyama, juice Safi hayo ndo Maisha yangu napenda. So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Mpo wana MMU. Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004. Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana...
12 Reactions
88 Replies
9K Views
Mara nyingi tunaposikia sheria za MUNGU tunaona kama vile zinatubania tu! Sio ajabu, ndio uongo wa nyoka tangu mwanzo alipomwambia Eva kwamba mkila hamtakufa, sio kwamba MUNGU kawakataza kula...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hiyo couple ya awali tusiilaumu sana kwa kula lile tunda!,laiti wasingekula wao naimani kabisa kuna mwamba huko na pisi kali yake wangekula tu!.. just jiangalie hata we mwenyewe na huyo partner...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom