Nimeangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,360
Reaction score
11,588
Sasa naanza kuona utofauti kati yangu na wanaume wengine! Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa tubinti ambatwo mkifahamiana leo, kesho kutwa mzinga!

Hisia zimehamia kwa wake za watu sasa! Kwa mara ya kwanza nilifanya kutafuta mwanamke anaejielewa ili kuupoza moyo na madonda yaliyonikumba previous! Sasa ushakuwa ugonjwa!

Hapa mtaani, niliwalia rada wanne, na wote washanitunuku, sikupigwa mizinga, bali ni vizawadi vya hapa na pale, sanasana kijora cha 12,000 tu!

Ukutane na huyo mwanamama kaufungasha, kautupia mdera wake, yanas.uguana tu anapotembea, hawana mambo mengi kabisa! Ila vijibinti utavikuta na lip shine nyekundu midomoni, kama midoli, hisia zinapita kushoto [emoji34]

Nowdays nimekuwa addicted, hisia na vibinti sina kabisa!

Siku zinavyozidi kwenda, nahisi kuangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali hapa uswahilini! Maake wake za watu ndo wanaongoza kwa mitego na ushawishi! Hawana vizinga kabisaaa! [emoji39][emoji39]
 
unataka ushauri
uungwaji mkono
au kupongezwa
 
Ukitaka chauvunguni sharti uiname sasa ww unataka kula tu na kuliwa hutaki hakuna cha bure chini ya jua
 
Kuna mwenzako mmoja huku kitaa kapelekewa moto na mwenye mke mpaka kukaa hawezi .Sawa wewe endelea hiyo speaker yako huko chini itachakazwa
 
Sasa naanza kuona utofauti kati yangu na wanaume wengine! Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa tubinti ambatwo mkifahamiana leo, kesho kutwa mzinga!

Hisia zimehamia kwa wake za watu sasa! Kwa mara ya kwanza nilifanya kutafuta mwanamke anaejielewa ili kuupoza moyo na madonda yaliyonikumba previous! Sasa ushakuwa ugonjwa!

Hapa mtaani, niliwalia rada wanne, na wote washanitunuku, sikupigwa mizinga, bali ni vizawadi vya hapa na pale, sanasana kijora cha 12,000 tu!

Ukutane na huyo mwanamama kaufungasha, kautupia mdera wake, yanas.uguana tu anapotembea, hawana mambo mengi kabisa! Ila vijibinti utavikuta na lip shine nyekundu midomoni, kama midoli, hisia zinapita kushoto [emoji34]

Nowdays nimekuwa addicted, hisia na vibinti sina kabisa!

Siku zinavyozidi kwenda, nahisi kuangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali hapa uswahilini! Maake wake za watu ndo wanaongoza kwa mitego na ushawishi! Hawana vizinga kabisaaa! [emoji39][emoji39]
Mkuu fanya kitu kimoja hachana na wake za watu amia tu kwa wanawake watu wazima kuanzia miaka 30 kupanda juu ambao awajaolewa nao uwa sio wasumbufu wanaelewa mwanaume anataka nini

Ukipata wa hivi utafaidi tena bila wasiwasi mimi ndio nafanya hivyo now days anakuja getto napiga adi asubuhi kama mke wangu vile

Chukua huu ushauri achana na wake za watu mkuu.
 
unapenda mteremko sana
 
Tatzo hawa wa hv wengi wao wanakuwaga na sura ngumu afu hawana shepu
 
Kila la jema..usiache kuleta mrejesho siku ukiwekwa mtu kati.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom