Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Kama hujamaliza ujana usioe. Kama unasukumwa na marafiki na familia ama jamiii umri umekwenda - usiolewe! Kama unatukanwa na kupigwa ndani ya ndoa ama mahusiano nenda wala usigeuze shingo nyuma. Love is no longer kind /doesn’t envy.
Love is selfish and cruel in this 21st century. Ongozwa na instincts na fuata Ibada/Mungu kama ni mtu wa imani.
Love is selfish and cruel in this 21st century. Ongozwa na instincts na fuata Ibada/Mungu kama ni mtu wa imani.