Baadhi ya mambo ya kweli kuhusu maisha?

Baadhi ya mambo ya kweli kuhusu maisha?

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,983
Reaction score
3,670
1. Baadhi ya jamaa zako wanangojea kwa siri kushindwa kwako.

2. Hakuna anayejali jinsi maisha yako yalivyo magumu isipokuwa wazazi wako tu.

3. Watu wengi hawabadiliki wanajifanyisha tu wawapo mbele ya watu wanaohitaji mabadiliko yao.

3. Kile unachokitaka huwezi kukipata kila wakati. Ukweli huu unapingwa sana na watoto.

5. Kila mtu ana maoni yake juu ya vitu ambavyo havijui, sikiliza maoni ya watu kisha cheka moyoni.

6. Ikiwa hisia zitakutawala basi tayari ushapoteza dira.

7. Mapenzi ni kama watu wawili kwenye bembea mmoja anapopanda mwingine anashuka. Ukishindwa kutawala mizani basi tena ushapoteza..

9. Ukisema uwongo mkubwa mara kwa mara utaaminika.

10. Hata uwe na nguvu kiasi gani, kuna mtu anakufanya ujisikie dhaifu.. Kama mwanaume chunga sana asiwe mkeo kama mwanamke jitahidi awe mume wako.

Tafsiri ni ya kwangu, nliikuta kwa kingereza kwenye mtandao wa Quora.
 
Wee jamaa umezidi sasa dah ukute hata humu ushatunukiwa ha ha haaa
Hahahah wee wanawake wa jf hawanipi mbususu zao maana wanasema nina sura personal na hela sina🤣🤣🤣🤣🤣

Nashukuru hii kazi yangu ya bodaboda inanisaidia katika kula mbususu za watoto wa form fooo B na wake za watu
 
Chunga sana asiwe mkeo
Ila mke jitahidi awe mumeo

Kunawatampia mlo watapinga hapo
 
Hahahah wee wanawake wa jf hawanipi mbususu zao maana wanasema nina sura personal na hela sina🤣🤣🤣🤣🤣

Nashukuru hii kazi yangu ya bodaboda inanisaidia katika kula mbususu za watoto wa form fooo B na wake za watu
Usituunganishe kwenye grid sasa mkuu
 
Hahahah wee wanawake wa jf hawanipi mbususu zao maana wanasema nina sura personal na hela sina🤣🤣🤣🤣🤣

Nashukuru hii kazi yangu ya bodaboda inanisaidia katika kula mbususu za watoto wa form fooo B na wake za watu
nilichoshtuka huku wanaosema hawana hela ndio wenye nazo na wanaosema wanazo wanapumulia ICU

hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom