BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,819
- 11,007
Kwa yaliyotokea wanawake tambueni kwamba pesa katika mapenzi ni sehemu ya maisha.
Umaskini sio mzuri ila msipende kumkimbilia kuolewa na msiyemjua kiundani.
Tukishaona utajiri basi tunakua vipofu.
Mnatumia fedha za watu halafu bado mnapepesa kwengine.
Ukiona huwezi kuolewa kuwa Danga la taifa