Vijana wengi wa Kike na Kiume wa zama hizi hawana kabisa Elimu ya Ndoa na Ujenzi wa Familia zao

May 22, 2017
65
298
Nimefanya Tathmini zangu mwenyewe nimekuja kugundua kuwa Vijana wengi wa Kike na Kiume wa zama hizi hawana kabisa Elimu ya Ndoa na Ujenzi wa Familia zao...Haraka haraka hii Teknolojia imetuharibia vijana wetu sana. Kuna namna kama wazazi tunatakiwa kufanya kwa watoto wetu wa Kike na wa Kiume ili kuwaokoa.....
 
Si nilisikia wanasema jando na unyago vinawafunza watoto umalaya had tukapiga marufuku. Unaonaje tukivirudisha?

Kuna jamaa hapa ananiuliza hvyo
 
Shida ni usawa mnaoulingania kati ya mwanamke na mwanaume hapo ndo mmefeli,mnafeli na mtafeli.
Kwa mnaofuta Maandiko ya Mungu nadhani mnajua Mungu hakosei,Sasa ninyi na umagharibi wenu mnataka kuleta usawa hapo ndo shida ilipo.
Anzia nyumbani kwako kutengeneza familia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom