Wale wanaume mnaotogoza wake za watu watakubaliana ni mimi hapo mwishoni kwa msimamo wangu,mimi ni muoga sana kutembea na mke wa mtu na huwa sina kujiamini kabisa.. ila katika pitapita huwa...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimependa niwape mkasa ulionipata Jana.
Npo mtaa x sasa Jana jioni kuna sehemu nilikuwa naenda sasa njiani nikakutana na demu mmoja mkali kinoma ana...
Ilitokea huku kwetu Kwatogole, dada wa kazi kwenye familia ya mume mke na mtoto wa kike wa miaka miwili. Siku ya kwanza mtoto alikua analia baada ya kula, mama alitoa ki tub kidogo cha ice cream...
Natamani kila mtanzania angekuwa kajiunga jf ili apate ujumbe huu.
Naandika haya baada ya kupokea simu/sms nyingi za ndugu, jamaa na marafiki either wakiomba au kukopa vihera vidogo vidogo, elf...
Habarini ndugu zangu....! Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu.
Nisitake tuchishane ....,
Ipo hiviii wanawake wamekua jeuri Sana hivi karibuni na kujifanya wao ndio wao wanaume kwao ni si...
Za mchana huu wadau hapo ulipo. na sisi mwenyeji wa hapa mwanza Kisesa kuna moto umetokea mda sio mrefu kwenye nyumba fulani karibu na hospitali ya kisesa ila jeshi la zima moto linafanya kazi kwa...
Leo katika harakati zangu nilipitia soko la samak pale feri sasa wakati nasubir samaki nilikuwa napiga stori na mvuvi mmoja, bhas katika kupiga stori nikamwuliza naskia kuna samaki mtu (mermaids)...
Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi?
Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini...
Inasikitisha sana,
Unaamua kujitolea kuwa na single maza tena aina ya thate plus (30+) kwa kujua kuwa amepitia ujana vya kutosha na tayari kashajifunza! Umri ni namba tu, kakupiga gap la miaka 6...
Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo
Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!
Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila...
Wakuu Amani iwe nanyi.
Nimefungua Uzi huu Kwa Nia ya Ku share uzoefu / Success za Kuishi Kwa Amani na Mwanamke ambaye ameokoa, bila kuyumbisha Familia.
Nimeshuhudia Ndoa Nyingi zikiyumba na...
Mapenzi ya miaka hii ni full stress, unakuta umemtongoza binti amekukubali vizuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki, basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nini?
Nothing can replace your love[emoji173]
Nothing can ever replace your love [emoji173]
You take away my every fear
You wipe away my every tear[emoji24]
You make me smile in the grim
You shine...
Habari.
Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na...
Nilianza mahusiano naye akiwa na mtoto mmoja ambaye kwa wakati huo baba yake alikuwa hajulikani,Mwaka mmoja baadaye baba wa mtoto akajulikana na kujitambulisha rasmi.
Baada ya utambulisho nikawa...
Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia
Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi...
Hamjamboni wanajukwaa la Love Connect? Hope mnaendelea vizuri na majukumu yenu.Moja kwa Moja a ha niende kwenye mada husika.
Mimi Ni mkenya na ninaishi jijini Nakuru sehemu nakofanyia...
Simulizi ya kweli iliyonitokea katika maisha yangu ya kimahusiano nitatumia neno "she".
Miaka kadhaa wakati nipo kwenye mahusiano mazito na mrembo mmoja.
shetani alinijaribu kupitia she mmoja...
Hello wanajamvi,
Wake zetu wana mahitaji yao binafsi pasi na chakula ambayo ni muhimu kwao!
Mahitaji yenyewe ni kama vile kusuka, urembo wa kucha, vocha, pesa kwa ajili ya ndugu zake, pedi n.k...