Nilikutana naye miaka michache iliyopita, ila amekua yeye pekee. Siku ya kwanza nilpomuona alinijeruhi kwa macho, akanitibu kwa tabasamu lake, Ilikuwa mara ya kwanza kumuona lakini alifanya moyo...
Ebanaa ee wanajukwaa naandika hii stori ya ukweli uku nikiwa sina majibu na siamini kama swahiba wangu wiki ijayo anaoa.
Jamaa alikuwa sana muumini wa mitandao yetu hii ya badoo, tinder na...
Chupaya alisoma masomo ya biashara pasi kujua huko mbele kutakuwaje. Aliajiriwa serikalini kwa muda mrefu akiwa Afisa biashara wa Wilaya. Siku moja katika kutoa leseni za biashara alikutana na...
Nimeona si vyema kama sintowajulia hali members wenzangu, wanafamilia wangu, samahanini kama nitakuwa naandika upuuzi [emoji23][emoji23] kabla hamjaanza kunishushia michambo...
Kuna mademu sijui wana pepo au wana majini au washirikina? Yaani ukimkuta kakaa kaunta ukikaa pembeni yake anaondoka, ukimkuta kaka kwenye siti ya daladala ukikaa pembeni yake ananyanyuka...
Wakuu.. habari za jioni
Naomba niende kwa mada moja kwa moja.
Nimekuwa nikisoma mada tofauti tofauti humu na nikawa nawaza naona moja ya tatizo kubwa linalofanya mahusiano mengi yasisogee mbele...
Naomba nichukue fursa hii kutafuta mwanamke ambaye hakika tutafunga nae ndoa sifa mtoto wakike ni lazima awe 1)MUISLAMU
2)Awe ana shughuli zake binafsi
3)Awe na upendo wa dhati
4) Suala la umri...
Hali ndivyo ilivyo, hata kwenye urafiki wa kujuana na watu kawaida tu kuna yule mtu hata akijenga nyumba porini bado atatembelewa ila kuna yule aliejenga sehem ya karibu ila hatembelewi mpaka...
Mtanisamehe kama kuna mtu dada yake ni mlengwa ila hapa tupo kupeana uzoefu.
Iko sawa kabisa siku ukishikwa na ashki naunataka kuosha rungu chap kwa haraka wewe chukua contact za hawa wadada...
Nichukue nafasi kuwajuza kuwa sikuzote kuna ME wa aina mbili kuu.
Type1.Wapole
Type2.Wakaksi/Kavu
Type 1:
Hili kundi la ME wako Loyal na emotional, huyumbishwa sana kwenye mapenzi na huvumilia...
Wasalaam,
Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future.
Kama ni mwanamke...
Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,
Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana...
za mda huu wadau,
Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho...
Wale wanaume mnaotogoza wake za watu watakubaliana ni mimi hapo mwishoni kwa msimamo wangu,mimi ni muoga sana kutembea na mke wa mtu na huwa sina kujiamini kabisa.. ila katika pitapita huwa...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimependa niwape mkasa ulionipata Jana.
Npo mtaa x sasa Jana jioni kuna sehemu nilikuwa naenda sasa njiani nikakutana na demu mmoja mkali kinoma ana...
Ilitokea huku kwetu Kwatogole, dada wa kazi kwenye familia ya mume mke na mtoto wa kike wa miaka miwili. Siku ya kwanza mtoto alikua analia baada ya kula, mama alitoa ki tub kidogo cha ice cream...
Natamani kila mtanzania angekuwa kajiunga jf ili apate ujumbe huu.
Naandika haya baada ya kupokea simu/sms nyingi za ndugu, jamaa na marafiki either wakiomba au kukopa vihera vidogo vidogo, elf...
Habarini ndugu zangu....! Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu.
Nisitake tuchishane ....,
Ipo hiviii wanawake wamekua jeuri Sana hivi karibuni na kujifanya wao ndio wao wanaume kwao ni si...
Za mchana huu wadau hapo ulipo. na sisi mwenyeji wa hapa mwanza Kisesa kuna moto umetokea mda sio mrefu kwenye nyumba fulani karibu na hospitali ya kisesa ila jeshi la zima moto linafanya kazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.