Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Habarini ndugu zangu....! Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu.
Nisitake tuchishane ....,
Ipo hiviii wanawake wamekua jeuri Sana hivi karibuni na kujifanya wao ndio wao wanaume kwao ni si chochote. Wengi wetu mtajiuliza hii jeuri wameitoa wapi....?
Ni hivi, haya ni makosa yalio fanywa na sisi wenyewe wanaume tumepoteza thamani yetu ambayo tuliachiwa na Babu zetu yaani waanzilishi wa kula Mbususu.
1: Kwa sababu wanaume tumesahau thamani yetu ndio maana wanawake wanajeuri. Mwanaume ukijitambua tu mwanamke kwako ni kachumbari tu kwenye maisha yako awepo asiwepo fresh tu.
2: Wanaume kuto kuwa na nguvu ya kumuambia mwanamke hapana, wewe Kama mwanaume ukiweza kusema hapana Basi wanawake wote utaweza kuwacontro maana neno hapana Lina nguvu Sana kwao na ndio maana mwanamke ukimuambia Hilo neno ndio kwaanza umemuambia aanze kukufuatilia na kukufikiria na atakuganda haswa.
Mwanaume ukiweza kusema hapana,sikuhitaji,toka nk utakua ndio ukombozi wako.
NB
Sema hayo ukiwa fiti kiafya,kiuchumi, na kiimani nakuambia hiii dunia utaimiliki.
Usiogope mbona babu zetu waliweza kuwaendasha Hawa na waliwalimisha Kama punda na fimbo walikula iwaje wewe unae jiita mtoto wa kiume unayashindwa mambo marahisi tu.