Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unaweza kusema kuwa maisha ya upweke yana raha,ila kiukweli n ya mateso. unaweza ukaugua ukakosa msaada wowote.hata kujipikia...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Tujadiliane hapa! Kwa nini wanawake asilimia kubwa huwa hawana uthubutu wa kutongoza mwanaume hata kama awe amempenda kiasi gani. Je kwa nini huwa wanaogopa?
4 Reactions
28 Replies
568 Views
Hi tabia ya kuvaa vimin na nguo zinazobana inawashushia heshima yenu. Yaan tujarib kujisitiri ili heshim yetu dumu. Mwanamke bora n mwenye tabia njema ila sio sura na shepu.
5 Reactions
19 Replies
285 Views
Mpo wakuu! Baada ya episode ya kwanza ku-trend mtandaoni nimeona niachia hit-post nyingine itakayoenda kumaliza ngebe za post ya kwanza. Kama mnavyonijua Joka jeusi mzee wa kutamba tambaa nimeona...
20 Reactions
32 Replies
6K Views
Ni muhimu uyajue haya mapema. Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume. Jifunze haya mapema. Utatumika jinsi unavyomuongoza. Kama...
20 Reactions
19 Replies
4K Views
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika...
129 Reactions
1K Replies
136K Views
Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na...
6 Reactions
13 Replies
430 Views
Ilinichukua muda sana kugundua shida nini ila kila nikichomeka nikawa nakosa kabisa ushirikiano naamua kuichomoa tena nasubiria kidogo kisha nikawa najaribu kuichomeka tena nione km itakubari...
1 Reactions
22 Replies
405 Views
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya...
5 Reactions
28 Replies
673 Views
Hii scenario ngumu sana ambayo inanifanya nihisi nimelogwa kwa sababu sielewi haya mapenzi yamerudi vipi. Iko hivi; niliwahi kuwa mapenzini na mwanamke fulani nikiwa nasoma kwa muda wa mwaka...
15 Reactions
148 Replies
3K Views
Mimi sioni Maana mapenzi n hela sku izi Bila mtonyo unatemwa anaenda kwa mwingine
3 Reactions
6 Replies
186 Views
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakaz serikalini na mimi ni mke wa ndoa tuna watoto wawili
16 Reactions
625 Replies
30K Views
Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
1 Reactions
37 Replies
751 Views
Sijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha...
31 Reactions
175 Replies
2K Views
kijana funga zipu, Binti funga mapaja then sikilizia hio energy utakayo kuwa nayo after a period of time labda 20,30,40,50,60days na kuendelea. unakuwa Reborn upya
23 Reactions
169 Replies
3K Views
Tunapozungumzia USALITI WA KIFEDHA (Financial Infidelity) kwenye mahusiano ama ndoa, hatuamanishi kumuibia mwenza wako pesa. Bali tunazungumxzia hali ya kutokuwa muwazi kwenye masuala ya kifedha...
2 Reactions
3 Replies
228 Views
Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Mexico, Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kwa jina la El Mencho, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kujeruhiwa na risasi katika operesheni ya kijeshi...
11 Reactions
91 Replies
2K Views
Back
Top Bottom