Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaah, ni yale mambo yetu yale ya engine kiuno service cum kimoja cha fasta. Sasa nilisema, nyakati hizi za kufunga, sitafanya zinaa. Waapi, bwana! Ndani ya masaa 72 ya mfungo, nikakutana na...
5 Reactions
33 Replies
654 Views
UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu)...
6 Reactions
12 Replies
328 Views
Miaka mingi iliyopita, huyu mzee alifanya maamuzi ya kiume kinoma. Alimchukua binti mdogo aliyekuwa anahitaji hifadhi na kumpokea kama mwanaye wa kumzaa. Kipindi hicho binti akiwa mdogo, mzee...
13 Reactions
28 Replies
583 Views
Habari wana MMU kaswali kangu kadogo kwa wale tuliojaaliwa watoto hasa ambao bado ni under 3. Ni sahihi kujiachia mbele ya mtoto hasa ukiwa umetoka kuoga. Mfano mwanangu ana miaka2 yeye...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu nilikuwa nae hapa kijijini kwa sasa yupo Dar,anapenda sana wanawake,hasa mabinti.. yaani akipita binti lazima amzungumzie na amfate akamtongoze,kwenye simu yake amejaza picha za...
10 Reactions
92 Replies
1K Views
Wanawake ni wataalamu wa udanganyifu wa kisaikolojia. Wamebobea katika mbinu za hila zinazowafanya wanaume imara kuwa wanyonge bila hata wao kujigundua. Unadhani uko kwenye usukani? Fikiria tena...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeona watu wengi wakiwa na stress kwenye mahusiano wanapofikia hatua ya kuachana, akili yote inahamia kwenye kugawana mali. Hakimi alishatoa somo lakini nashangaa baadhi ya wanaume wamekuwa...
11 Reactions
47 Replies
851 Views
Wadau naomba mnisaidie mawazo yenu kwa jambo hili. Kama mtu tayari ameshawahi kushiriki mapenzi mara nyingi na amezoea, je kweli inawezekana kuacha kabisa kwa maamuzi yake mwenyewe? Ukweli ni...
5 Reactions
25 Replies
833 Views
Wabongo ni Watu wanaojua sana kucheza na fursa. Wamegundua wanawake wengi sana wanatafuta wachumba wa kuwaoa. Hivyo wajanja wameanzisha page instagram za kuunganishiwa mwenza kwa malipo kiasi...
23 Reactions
76 Replies
4K Views
Wakuu, Rafiki yangu huyu wa miaka mingi toka utotoni tulikuwa karibu sana japo watoto wengi walimtenga kwa kuwa kulikuwa na taarifa za chini kwa chini kuwa mama yake ni mchawi. Miaka ikaenda...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Hivi kwanini siku hizi wanaume hawapendi na waoga sana kutoa bikra za wadada ?
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa. Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni...
4 Reactions
7 Replies
532 Views
Ukitaka kuona raha ya kwichi kwichi muwe mnatazamana usoni namna demu anaugulia na ukijumlisha na uzuri wa sura apo mnara lazima usome 5G na huchoki
0 Reactions
5 Replies
184 Views
Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Me nilijua kwa kutokuwa predictable mfano siku ya Valentine sikumtumia hata text, ku keep distance kisha unarudi na vibe, kum treat kama victim. Basi ningemsogeza karibu zaidi. Lakini...
10 Reactions
19 Replies
367 Views
1. Mrefu mweusi mwembaba 2. Mfupi mweusi mnene 3. Mrefu mweupe mnene?
3 Reactions
13 Replies
260 Views
http://www.luckymojo.com/rattle-viper-sperm-incense-salt.jpg Inawezekana kabisa kuwa hii ikawa mada ya kushangaza mno kwako lakini ni kwakuwa hukuwahi kudhani wala kusikia juu ya hili jambo lakini...
8 Reactions
91 Replies
18K Views
Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi...
12 Reactions
168 Replies
7K Views
Kila mtu ameweka profile picture na avator yenye kumaanisha jambo fulani. Ie. Wengine hawajawaka. Naongea na wewe ambaye uweweka. Je ina maana gani au umeweka tu? Kwangu mimi avator yangu ina...
2 Reactions
13 Replies
204 Views
Back
Top Bottom