Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ulimwengu wa mapenzi una vitu vingi sana!, ila ufundi na stadi kazi ndio tamu na asali ya ulimwengu huu!. Nilijipatia mtoto fulani hivi kipotabo mweupe kidogo na umbile changamano!, siku hii ndio...
10 Reactions
133 Replies
2K Views
Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not...
2 Reactions
5 Replies
275 Views
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila...
24 Reactions
171 Replies
2K Views
Ni wachache sana waliofanikiwa kushikamana kwenye biashara kwa wanandugu, hasa sisi kizazi cha kiafrika aka ‘black mamba’. Kumekuwa na dhana, mmoja au zaidi katika familia anaweza kuona fursa na...
6 Reactions
42 Replies
505 Views
Bro Mshana Jr jazia nyama.
8 Reactions
25 Replies
497 Views
Zamani ilikuwa ngumu sana kusikia habari za sisi wanaume kuitwa viba100. Kwa nini? Sababu wanawake wengi walitunza Jagina zao. Kwa sasa unakuta mwanamke humo ndani anaingiza tango, anaingiza mhogo...
14 Reactions
43 Replies
891 Views
Wahenga wanasema ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki usiyemjua Hivi umewahi kuishi na snitch na unajua kabisa ana kunafikia? Then ukawa una mchora tu na unafiki wake anavyojimaliza? Mara...
25 Reactions
148 Replies
2K Views
Nimeamua kushare hapa hiki kisa cha kweli kilichonitokea kwenye maisha yangu. Nikiamini wengi mtajifunza na kuburudika pia. NB: Majina ya watu na baadhi ya Majina ya sehemu yatakuwa sio halisi...
46 Reactions
514 Replies
129K Views
30s guys wanachukiwa sana na hawa wadada maana 30s guys wamejikuta katika chaos time, uchumi mgumu na maendeleo yasio tabilika thus ukitaka kula hela yake lazima na wewe uliwe kisawa sawa😁😁 40s...
6 Reactions
28 Replies
486 Views
Wewe ukiguswa wapi mwili wako unaitikia au unalainika na kuwa tayari kwa mechi? Ngoja niwape kastory kidogo. Angalizo: kama hupendi mambo ya heka heka za chumbani, basi ishia hapa kusoma, si...
24 Reactions
268 Replies
3K Views
Hakuna sehemu maalum ya kupata mchumba au mke wa maisha. Hoja sio hiyo bali ilikuwaje ulipompata mchumba kupitia mtandaoni? Hasa mlipokubaliana mkutane kwa mara ya kwanza na kumpeleka...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Je, inaweza kua motro wa round ya kwanza ulikua mkali sana? Au mshedede unasukutua hadi unagusa maini na mapafu yake? Ana changamoto ya afya ya via vya uzazi au kisaikolojia? Je, hakuandaliwa...
3 Reactions
7 Replies
211 Views
Kutwa kuakaa kusifia mademu na ngono zao. Kwenu men. Kutwa kusifia miboo mikubwa na ngono za kuwapeleka puta. Kwenu women. Alafu unakuja kulalamika... Ndoa chungu" na vikauli kibao vya kuikosoa...
9 Reactions
59 Replies
665 Views
Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana...
25 Reactions
105 Replies
2K Views
Habari zenu, Wengine shikamoon. Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na...
1 Reactions
6 Replies
180 Views
Harusi ni sherehe inayofanyika baada ya agano la ndoa. Unapowaza kufanya harusi usifikirie kuhusu pesa zilizopo kwenye mifuko ya watu. Angalia mfuko wako mwenyewe kama unaweza kumudu gharama za...
18 Reactions
52 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri”...
2 Reactions
6 Replies
228 Views
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi. 👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama. Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series. 👉Sinywi...
49 Reactions
2K Replies
48K Views
Twende kwenye mada; Jamani mi nina rafiki yangu ambae tulisoma wote primary & O-level, Baada ya hapo tulipotezana bila mawasiliano kwa miaka kadhaa, ila katika harakati za maisha tumekutana tena...
10 Reactions
66 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Mwezi wa 3 mwaka huu nilimpoteza mpenzi wangu, na uzi nilileta hapa Ilimradi alikufa kipindi tukiwa hatuko sawa kutokana na yeye kunisaliti sasa tulikua tumepanga mengi kama mke na...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…