Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!!
Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha...
Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa...
Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv,
Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+,
Dalili...
Haya mambo ya kale eti ntaishi nawe mpaka kifo hamna,siewez na haya mahusiano ya siku hizi n magumu.mm nnatafuta mwanamke nimpg mimba, akinializia tuh hivi,mtoto akikuwa na mwanamke huyo...
Hello
Hope mko salama..
Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa..
Anyway sio mbaya kila mtu na...
Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Hili ni tatizo kubwa sana ila wanaume wengi wamekuwa waoga kuweka wazi, unamkuta jamaa ni pande la jitu lakini room anaenda mwezi hapewi show, kuyaweka mambo haya wazi ni kitu ambacho kwa tamaduni...
Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo...
Nakumbuka nipo darasa la saba nikawa nimempenda binti nikaandika barua ya kumtongoza, then nikampa mdogo wake ampelekee dada yake, kilichofuata barua ikafika kwa wazazi wake
Nikaitwa na kusemwa...
Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo...
Kwenye hatua za makuzi ya mwanadamu kuna hatua mbalimbali hupitia kuanzia kutungwa kwa mimba mpaka kifo;
Utotoni
Ujanani
Utu uzima na
Hatimaye uzeeni
Kila hatua hapa huwa na mambo yake ambayo...
Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro
Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi
Leo nataka...
Mambo vp wakuu,
Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au...
Wakuu,
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu, cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.
Mke wangu akaanzishiwa ARV mara moja, kisha...
Salaam jamiiforum
Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si...
Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu.
Vigezo
Umri: miaka 21 hadi 26
Rangi: Mweupe
Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu
Elimu:Chuo kikuu
Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.