Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiwa kijana niliekulia mkoani na kuja jijini kuanza maisha. Ubora wa maisha kwa sehemu kubwa umepungua sana kwa kukosa radha ya rafiki wa karibu na...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za kwenu wadau. Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo. Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi. Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms😅😅😂😂 nikakwepa Nishamwambia sina...
21 Reactions
302 Replies
21K Views
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi. Mwaka 2019 Nilikuwa na mahusiano...
8 Reactions
160 Replies
7K Views
Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za...
12 Reactions
82 Replies
5K Views
Waliooa hapa duniani ni wachache sana, wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha, ndiyo maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri. Waliooa ni wale wanaoishi na...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Naitaji mke wa kuishi naye umri wangu miaka 37 Sifa Awe mcha Mungu Mwenye chura japo kidogo Umri wake 30 mpak 34 Asinipende mimi sana ila aipende sana ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakuna wakati mbaya kama huu kwa vijana watafutaji kama BabaMorgan, Wadangaji kila Kona yaani Kila wakati mtu unalazimika kubadilisha matumizi ya kipato chako bila ya kupenda Huku kaacha mapaja...
21 Reactions
82 Replies
5K Views
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile. Lakini bahati nzuri ni...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau. Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Baada ya kukaa na huyu demu kwa miezi 8 kwenye mahusiano na kumgegeda zaidi ya mara 30 nikamchoka na nikakosa hisia nae Last week nimemgonga nikamwacha kimya kimya na kumlia buyu. Jana anaibuka...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Soma apo juu. Kama una sifa njoo inbox chap. Sina utani
0 Reactions
2 Replies
524 Views
Wakuu naiman hamjambo katika kufanya research yangu nimegundua ya kuwa huu mtandao. Una mpromoti mwanamke kiasi cha kwamba akajisahau yeye ni nani katika ndoa au mapenzi yake na wanawake wengi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
.
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za weekend jamani Tukiwa tumejisogeza maeneo tukiendelea kupata TRAB ya baridii na TRAT ya kuchoma. Naombeni tujikumbushe katika kikao chetu cha mwisho kipegele cha kuhonga pesa ya kusukia...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha...
4 Reactions
8 Replies
920 Views
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuzi wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu. Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake...
1 Reactions
92 Replies
6K Views
Back
Top Bottom