Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wakuu Natumaini niwazima wote Niende streght kwenye uzi Kiukweli wakuu sasa nahtaji kubadilisha mfumo wa maisha yangu kiukweli sikuwa hivi nilivyo nakili na kukili mimi nikijana...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Yani vijana wa siku hizi ukienda kuwaomba ushauri tu akuna chochote watakacho kujibu zaidi ya tafuta pesa Kuna msela wangu ili neno limekuwa kama slogan yake chochote utakacho mwambia yeye...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Siku ya juzi nimekosana na mpenzi wangu. Kosa langu ni kukutwa meza moja na wanawake wawili bar nikiwa nawasaidia kuwamwagilia moyo Binti kumbe alichukia, hakupokea hata simu zangu wala kujibu...
11 Reactions
84 Replies
5K Views
Nakumbuka siku moja tukiwa kanisani mdogo wangu mwenye miaka 4 akiwa amepakatwa na mama huku kanisa likiwa limetulia alisikika akisema. [Mama nataka TUTO******E na kanisa zima tukasikia] kwa...
10 Reactions
126 Replies
22K Views
Mwanamke akiomba speed ipungue ndio inakuwa kama ruksa ya kupeleka moto haraka kama sungura Mwanamke akiommba kuongeza speed tunaanza kwenda taratibu sana kama kobe Akisema usiingize yote...
4 Reactions
7 Replies
975 Views
Una uhakika gani kwamba hajawai kupasha kiporo na ex wake, hawara anatongozwa ?? Kuna kipindi mnagombana, unajua ni namna gani anavyo deal na hio hali kutuliza hasira ama kukukomoa ?? ana deni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hatimaye kijana wetu amaeamua kuchangua familia dhidi ya mwanake aliyetaka kumuoa. Mwingine alikengeuka lakini kilichotokea hadi leo anajuta. Kijana wetu huyu wa kwanza ana miaka 26, yeye alikuwa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau!!! Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro. Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaaam magreat thinkers Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa) 1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle...
13 Reactions
279 Replies
15K Views
Hope mko poa, Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, halafu penzi likanoga Kama zamani. Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae...
8 Reactions
118 Replies
13K Views
Huyu mwanadamu ni nyoka. Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza. Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Leo katika pita pita zangu nimemfumania mpenzi wangu anaomba kutumiwa video za utupu maarufu kama Koneksheni, ameomba na ametumiwa na kilichoniuma zaidi ametumiwa na Jamaa wa...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
I have the unfortunate luck of finding too many girls in my life and not enough women. It’s not an age thing – some women are younger than girls. The difference is in the way the two types act...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wapendwa Binafsi nataman sana ku-adopt watoto kutoka vituo vya watoto yatima (wenye mazingira magumu) ilikuwa ni tamaa yangu tangu nilipojitambua. Nataman niadopt watoto wadogo kabisa...
17 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari wanajamii, Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania. Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano...
12 Reactions
211 Replies
13K Views
Habari humu ndani.... Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha . Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Mambo vipi jamiiforum members. Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka. Ni...
2 Reactions
129 Replies
27K Views
Ambwene mwasongwe kwenye wimbo wake wa nguvu ya kujua kuna sehemu anasema “Moyo wa mtu ni kichaka, umehifadhi mambo mengi” Neno maisha ni fupi ila lina namna zaidi ya moja ya kulielezea, Watu...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom