Nahisi mtandao wa Tik tok ndio chanzo cha migogoro na talaka kwenye ndoa

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,083
Wakuu naiman hamjambo

katika kufanya research yangu nimegundua ya kuwa huu mtandao. Una mpromoti mwanamke kiasi cha kwamba akajisahau yeye ni nani katika ndoa au mapenzi yake na wanawake wengi wameingia kingi kupitia mtandao huu pasipo kujua,
Athari

Na cha ajabu wanaume wengi katika mtandao huu wanatumika kujihalibia ndoa zao pasipo wao kujua, Siku zote nguvu ya mwanamke ipo kwenye kusikia ndio maana unaweza mshawishi kwa maneno na akakuelewa tofauti na mwanaume kumshawishi lazima utumie uthibitisho mwingi

Na ndio maana sasa huu mtandao umekuja kuharibu wanawake wengi

Mwenye uelewa mpana na hiyi mada ruksa kuongezea maana ni mtazamo wangu
 
Wakuu naiman hamjambo katika kufanya research yangu nimegundua ya kuwa huu mtandao

Una mpromoti mwanamke kiasi cha kwamba akajisahau yeye ni nani katika ndoa au mapenzi yake na wanawake wengi wameingia kingi kupitia mtandao huu pasipo kujua,
Athari

Na cha ajabu wanaume wengi katika mtandao huu wanatumika kujihalibia ndoa zao pasipo wao kujua,

Siku zote nguvu ya mwanamke ipo kwenye kusikia ndio maana unaweza mshawishi kwa maneno na akakuelewa tofauti na mwanaume kumshawishi lazima utumie uthibitisho mwingi

Na ndio maana sasa huu mtandao umekuja kuharibu wanawake wengi
Toa mfano
 
Sababu haina mashiko
Watu washindwane wenyewe msingizie mtandao
 
Wakuu naiman hamjambo

katika kufanya research yangu nimegundua ya kuwa huu mtandao. Una mpromoti mwanamke kiasi cha kwamba akajisahau yeye ni nani katika ndoa au mapenzi yake na wanawake wengi wameingia kingi kupitia mtandao huu pasipo kujua,
Athari

Na cha ajabu wanaume wengi katika mtandao huu wanatumika kujihalibia ndoa zao pasipo wao kujua, Siku zote nguvu ya mwanamke ipo kwenye kusikia ndio maana unaweza mshawishi kwa maneno na akakuelewa tofauti na mwanaume kumshawishi lazima utumie uthibitisho mwingi

Na ndio maana sasa huu mtandao umekuja kuharibu wanawake wengi

Mwenye uelewa mpana na hiyi mada ruksa kuongezea maana ni mtazamo wangu
Shida sio TikTok, shida ipo kwetu ukiwa china ukitafuta haya mambo ya kutikisa matako hayaji zaidi ya video za maana tu
 
Wewe uoe kwa kiherehere chako cha tamaa ya ngono huko kwenu manyovu halafu uje mjini ukutane na mitoto ya dizaini hii halafu umuache mkeo uje useme tikitoku?
20220922_213848.jpg
 
Attachments

  • hiiii_style-1663763898387.jpg
    hiiii_style-1663763898387.jpg
    59.6 KB · Views: 8
  • hiiii_style-1663763819455.jpg
    hiiii_style-1663763819455.jpg
    65.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom