Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,730
- 8,821
Baada ya kukaa na huyu demu kwa miezi 8 kwenye mahusiano na kumgegeda zaidi ya mara 30 nikamchoka na nikakosa hisia nae
Last week nimemgonga nikamwacha kimya kimya na kumlia buyu.
Jana anaibuka ananiuliza tumeachana nikamjibu why unaniuliza hivyo akajibu anaona nimemchunia
Nikamwambia jiongeze pita hivi . Demu anaanza kuniporomoshea matusi .
Sasa jamani mi kosa langu nini maana nliamua nimwache kimya kimya yeye anakuja kuniuliza kama nimemwacha namwambia ukweli anaanza kashfa na matusi. Ila mi nimeamua nimpotezee
Mabinti acheni makasiriko ukiachwa achika na si kuanza kutukana tukana kama mwehu
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app