Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.
Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na...
Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya...
Hakika Ngoma ikivuma Sana inapasuka waswahili walinena, Leo ni siku mbaya sana ktk maisha yangu nahisi uwezo wangu wa kufikiri umefika mwisho.
Ishu ipo hivi jana nilikuwa na mchepuko wangu kwenye...
Wanawake walio wengi, walishajiwekea utaratibu wa wao kuhudumiwa tu kwenye mambo yanayohusu pesa. Na si wao kumuhudumia mwanaume.
Hii imepelekea kwa wanaume wengi kuwa watumwa, kuhangaika usiku...
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake...
Habari
Ni kijana wa miaka 28
Kutokana na matatizo Yangu (kiafya) sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na...
Kwenye Pete ya uchumba...sherehe
Get together..sherehe
Pete ya ndoa ....sherehe
Ndoa...sherehe
Fungate...shereheeee
Nguumi...kimyaaaa
Kwa wazazi...kimyaaaa
Kkutengana...kimyaaaaaaaaa...
Mbinu hii ni ya kijesh kujua nafas yako ndani ya penzi lako na please ifanye hii at your own risk msinitaje hapo baadae mahakamani au ukiwa unahojiwa na waandishi sitaki lawama dandia mtumbwi wa...
Hello wanajamvi.
Ukweli tumefanya mistake nyingi ktk maisha, hasa ktk mahusiano. Tukifanya machaguzi mabaya, kukosea kwa mitazamo n.k Je, Tuishi kwa majuto na huzuni baada ya kuharibu mifumo na...
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.
Sina...
Habarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako '...
Wakuu za saa hizi.
Binafsi na marafiki zangu wengi wamekuwa wakinipa kesi kama hizi, kwamba unakuta mwamba kamfukuzia demu, then anajibiwa na demu kuwa hataki mahusiano bali urafiki nae.
Sasa...
Nakumbuka ilikua mwaka 2014 wakati wife ana mtoto mchanga ilinibidi kutafuta msichana wa kazi wa kusaidia, kijana mmoja alinisaidia kupata mdogo wake wa tumbo moja ,kabinti kanaitwa Fau kakaja...
Helo diaz,
Mama wa 32yr, 1 kid, government worker & mjasiriamali, sukuma & Christian.
Natafuta mwanaume aliye serious na maisha mwenye hali kama hiyo, ambae yupo interested please come.
Nyie...
ANAOMBA USHAURI
Naomba unipostie kwa group Wamama wanishauri
Mume wangu kanuna wiki ya pili, sababu ya kujinunisha hata siijui jamani, hajanigusa siku zote.
Sasa Mungu sio athumani, Kwenye simu...
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto?
Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulizonazo, na uhakikishe...
Wakuu habarini za majukumu?
Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi...
Hivi nyie binadamu mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!! Wanawake wengi sasa hivi wanalalamika hamuwagusi kabisa ndani ya nyumba, hapa nawaongelea mliooa.
Mimi nina mwezi sasa tangu tarehe 3...
Tumekubaliana kila nikihitaji nimwambie awe anakuja. Atakuwa ananitumia ratiba yake ya mzunguko kila mwezi ili nisimuite siku zisizokuwa nzuri kwake.
Uzuri ni kwamba tumeshapima na bei/tozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.