Habari wakuu?
Nimekuwa na mahusiano mengi na warembo mbalimbali, kipindi cha huko nyuma; na ikapelekea wawili kuwa na watoto na mmoja ni mjamzito.
Changamoto iliyopo; kwa sasa nataka nibaki njia...
Dogo ana mchepuko wake amenizoea mpaka mtaani kwao wanajua mi ndiyo namvua chupi. Maana asiponiona anamnunia mpaka bwana wake ambae ni mdogo wangu.
Shida imekuja nilimdanganya na ameamini kwamba...
Mazungumzo kati ya Mume na Mwanasaikolojia :
P: Unafanya kazi gani Bwana Bony?
H: Ninafanya kazi kama Mhasibu katika Benki.
P: Mke wako?
H: Hafanyi kazi, ni mama wa nyumbani tu.
P: Nani...
Dah yani binafsi huwa nashindwa kuelewa inakuwaje kuwaje hadi wewe mwanamke unaamua kumuomba mwanaume hela ya Pedi.
Though sijaona mengi duniani ila toka nizaliwe sijawahi kuwa kwenye mahusiano...
Ilikua ni siku tulivu tu Kama siku nyingine, basi shetani nae alikua kazini Kama kawaida yake.
Kifupi mke wangu huyu hana tabia kabisa ya kushika simu yangu hadi majuzi alipo ingiwa na tamaa za...
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji...
Salam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya...
Bwana bwana nimepita nyumba moja hivi, yenye singo mama aisee
Yule mtoto sijui kakosea nini?
Mmama anatukana mtoto wake huyo utafikiri yupo Kilabuni kalewa ngerenge mixa na chibuku na katika hayo...
Wakuu hamjambo? Aisee nina mke wangu wakati tumeanza mahusiano mpaka namuoa tulikuwa tunapiga game matata sana mpaka alikuwa anaomba kabisa mpaka anapata ujauzito ndo acha kbs kipindi cha ujauzto...
Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha.
Wakati mwingine kupewa namba ya simu...
Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari...
Punde baada ya uhuru ilianza kuvaa suruali na nguo za kubana.
Ikaja kuva nguo fupi ikawa ndio fashion kwa asilimia kubwa ya wanawake wanavaa hivyo
Ikaja kujichubua asilimia kubwa wakaingia...
Za saizi waheshimiwa
Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter...
Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu
Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang...
Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo......
1. Iringa
2. Ruvuma
3. Tanga
Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.