samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 684
Punde baada ya uhuru ilianza kuvaa suruali na nguo za kubana.
Ikaja kuva nguo fupi ikawa ndio fashion kwa asilimia kubwa ya wanawake wanavaa hivyo
Ikaja kujichubua asilimia kubwa wakaingia kwenye trending hiyoo
Ikaja kwenye kuongeza makalio wakajaaa woteee
Sasa trending ipo kwenye kuzalia nyumbani na kuwa single mothers
Sijui ikitoka hii itakuja nini