A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 125
- 269
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari, Kalazwa hospitali saivi.